nasikia kuna mtu mmoja huko zenj kwa sas kazi yake kupanda minazi, nasikia ndio atakuwa mgombea mweza, ni maarufu sana huko kwa maswla ya kukwea minazi
nasikia kuna mtu mmoja huko zenj kwa sas kazi yake kupanda minazi, nasikia ndio atakuwa mgombea mweza, ni maarufu sana huko kwa maswla ya kukwea minazi
Ulitaka kazi yake iwe FISADI?nasikia kuna mtu mmoja huko zenj kwa sas kazi yake kupanda minazi, nasikia ndio atakuwa mgombea mweza, ni maarufu sana huko kwa maswla ya kukwea minazi
Sawa lakini tutajuaje kama mtu yupo makini bila kuwa na track record? amefanya nini kutumikia umma ni lazima wagombea uongozi waonyeshe uadilifu na wawe na rekodi nzuri ya uongozi na kutetea maslahi ya umma na jamii kwa ujumla...Kama ni umaarufu, wa Dr Slaa unawatosha hata watu sita. Kwa sasa anayehitajika ni mgombea mwenza makini tu, sio lazima awe maarufu...
Tunataka kiongozi BIKIRA ambaye hana track kama mnazozitaka lakini ana uwezo wa kuongoza.Sawa lakini tutajuaje kama mtu yupo makini bila kuwa na track record? amefanya nini kutumikia umma ni lazima wagombea uongozi waonyeshe uadilifu na wawe na rekodi nzuri ya uongozi na kutetea maslahi ya umma na jamii kwa ujumla...
Tunataka kiongozi BIKIRA ambaye hana track kama mnazozitaka lakini ana uwezo wa kuongoza.
haya masuala ya uzoefu ktk uongozi ni ya KIJIMA. waachie wazungu. sisi tunataka fresh thinkers na siyo crap thinkers kama walivyo wa CCM
41.-(1) Baada ya Bunge kuvunjwa au kukitokea jambo jingine
lolote lililotajwa katika ibara ndogo ya (2) ya ibara ya 38 na
inalazimu uchaguzi wa Rais kufanyika, kila chama cha siasa
kinachopenda kushiriki katika uchaguzi wa Rais kitawasilisha
kwa Tume ya Uchaguzi, kwa mujibu wa sheria, jina la
mwanachama wake mmoja kinayetaka asimame kama mgombea
katika uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano na jina la
mwananchama wake mwingine kinayempendekeza kwa nafasi
ya Makamu wa Rais.
Katiba inasema hivi:
Kwa maana hiyo ni lazima mgombe mwenza awe mwanachama wa chadema! la sivyo yaweza kutokea yaliyomkuta Shitambala uchaguzi mdogo wa kule mbeya