George Maige Nhigula Jr.
JF-Expert Member
- Mar 14, 2008
- 470
- 149
Huyu vipi na vimada?Sipendi kujua ni nani unayemzungumzia katika tetesi yako...
Point ni kuwa kama tumefikia kuwa na viongozi wauza unga, majambazi etc. ndo maana kweli haishangazi kwa nini hii nchi sasa hivi iko hapa. uongozi sasa hivi umekuwa kwa wahuni wowote mradi awe maarufu na anayeweza kuhonga.. hii ni hatari na haraka tuwang'oe wapuuzi wa aina hii. Kwa hili hakuna kujali chama kama mtu hana sifa ya uongozi na si muadilifu yeye kama yeye , hana maana. Kwani at the end of the day tukiwachagua, wataturudisha hapa tulipo sasa.
Huyu vipi na vimada?
Hebu msaidieni huyo bwana kutafuta skendo nyingine, maana inaelekea mpaka aingie kaburini atakuwa anakomalia hapohapo! Wakiitwa wana akili za mgando wanalalama!!Kuwa na Kimada tangu lini kukawa ni kosa la jinai???
Ndugu wana JF,
Kuna Tetesi nilikwisha wahi kuzisikia mda mrefu kuwa mgombea huyu wa ccm jimbo la ilala alikuwa DRUG LORD miaka mingi ya nyuma na alikwisha wahi kufungwa nchini ITALY, Ukitembelea vijiwe vyake pale kariakoo mtaa wa ndanda unaweza kuzipata hizi habari hususani kwenye kwa wauza mataili wa pale mtaa wa ndanda opposite na ofisi ya ccm ambapo kulikuwa na nyumba ya Mzee Paul Rupia ambayo Mwl Nyerere alikwisha wahi kuishi wakati wa mapambano ya uhuru.
Tunaomba watu waliopo hapo Dar wajaribu kufatilia hili swala, na watujuze zaidi, Na kama kuna mgombea yoyote wa upinzani tumpige tafu, kwanini mkoa wa Dar Es laam unakubali kuongozwa na wabunge wa aina hii? hata kama kuna mgombea wa CUF tuhakikishe tumpigie chapuo.
Nawakilisha hoja waungwana.
Naona unajileta kasi, taratibu usije ukaukalia...Hebu msaidieni huyo bwana kutafuta skendo nyingine, maana inaelekea mpaka aingie kaburini atakuwa anakomalia hapohapo! Wakiitwa wana akili za mgando wanalalama!!
jamani kwani watu huwa hawabadiliki?Ndugu wana JF,
Kuna Tetesi nilikwisha wahi kuzisikia mda mrefu kuwa mgombea huyu wa ccm jimbo la ilala alikuwa DRUG LORD miaka mingi ya nyuma na alikwisha wahi kufungwa nchini ITALY, Ukitembelea vijiwe vyake pale kariakoo mtaa wa ndanda unaweza kuzipata hizi habari hususani kwenye kwa wauza mataili wa pale mtaa wa ndanda opposite na ofisi ya ccm ambapo kulikuwa na nyumba ya Mzee Paul Rupia ambayo Mwl Nyerere alikwisha wahi kuishi wakati wa mapambano ya uhuru.
Tunaomba watu waliopo hapo Dar wajaribu kufatilia hili swala, na watujuze zaidi, Na kama kuna mgombea yoyote wa upinzani tumpige tafu, kwanini mkoa wa Dar Es laam unakubali kuongozwa na wabunge wa aina hii? hata kama kuna mgombea wa CUF tuhakikishe tumpigie chapuo.
Nawakilisha hoja waungwana.
jamani kwani watu huwa hawabadiliki?
,kama angekuwa anaendelea na hiyo biashara ndio ingekuwa NONGWA,
huenda alishaacha muda mrefu!,
tusiangalie ya zamani tuangalie kwa sasa yukoje!,binadamu tunatendancy ya kujirudi!
so whatYaani Zungu ni 'zungu' la unga au?