Mgombea CHADEMA atoweka kwenye mazingira ya kutatanisha

Chadema Diaspora

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2010
Posts
480
Reaction score
644
NEWS ALERT: Mgombea CHADEMA atoweka kwenye mazingira ya kutatanisha​

Mgombea uenyekiti, Ndg. Erick Ngiliama, kijiji cha Mahango kata ya Madibila wilayani Mbarali amepotea kwenye mazingira ya kutatanisha tokea December 18, 2014 usiku. Mke wa Ndg. Ngiliama alipo hojiwa amesema kuna watu walikuja kumkamata usiku wa December 18 wakijitambulisha kama polis.

Baadhi ya maeneo Wilayani Mbarali kama kijiji cha Kapunga hali sio nzuri; vijana wengi wamekimbia majumbani kwao na kujificha maporini. Hali hii ya ukimbizi imetokea wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa ambapo vijana pamoja na wakina mama wenye mlengo wa upinzania wamekuwa wakikamatwa usiku wa manane na kuwekwa ndani bila sababu za msingi. Hadi juzi kulikuwa na watu zaidi ya 40 jela. Jana Ijumaa watu 20 waliachiwa huru akiwemo Diwani wa Mapogolo Ndg. Ramadhan Garahenga; huku wengine wakiendelea kusota jela.

Kwa bahati mbaya, sintofahamu lipo kwa katibu kata wa Madibila/CHADEMA Ndg. Erick Ngiliama ambaye haieleweki amepelekwa wapi baada ya kukamatwa. Ndg. Ngiliama alikuwa anagombea uenyekiti wa kijiji cha Mahango kwa tiketi ya CHADEMA

Source: CHADEMA DIASPORA : NEWS ALERT: Mgombea CHADEMA atoweka kwenye mazingira ya kutatanisha

yanamwisho hayo,anguko la watu hao linakuja
 
Ningeshangaa Uzi huu bila kuwahiwa na ukoo wa Panya!
 
Kwani jina lake limeondolewa kwenye karatasi ya Kura? Kama lipo mchagueni Tu akirudi anaendelea kuongoza, Kama kweli Ni chaguo lenu.
 
TENA MUDA SIO MREFU ONLY 10 MONTH LEFT TIME WILL TELL. MIMI WALISHINDWA KWANI NILILINDWA NA WAPIGA KURA WANGU KABLA YA UCHAGUZI NA BAADA YA USHINDI WA KISHINDO MTAA WANGU NDIO WANAOKAA MA MASTER MINDER WA CCM ILA NGUVU YA UMA IMEWASHUGHULIKIA. MIMI NDIO MWENYEKITI WA MTAA WA MWENYEKITI WA CCM MKOA. PEOPLESS

kuna siku mtayakumbuka sana hayo maneno yenu ya kishetan...

By laki si pesa
Chadema acheni michezo yenu ya kuigiza
 
Back
Top Bottom