Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
atakuwa amejiteka huyo
Wewe senge kweli. Kwa ni lazima u comment?! F*ck you!
atakuwa amejiteka huyo
Pole kamanda. Jana mtu nilikuwa namjibu si wewe



Muulize mdede na dr slaa ndiyo watalamu wa kujiteka na kutoa matamko wenyewe.
atakuwa amejiteka huyo
Muulize mdede na dr slaa ndiyo watalamu wa kujiteka na kutoa matamko wenyewe.
NEWS ALERT: Mgombea CHADEMA atoweka kwenye mazingira ya kutatanisha
Mgombea uenyekiti, Ndg. Erick Ngiliama, kijiji cha Mahango kata ya Madibila wilayani Mbarali amepotea kwenye mazingira ya kutatanisha tokea December 18, 2014 usiku. Mke wa Ndg. Ngiliama alipo hojiwa amesema kuna watu walikuja kumkamata usiku wa December 18 wakijitambulisha kama polis.
Baadhi ya maeneo Wilayani Mbarali kama kijiji cha Kapunga hali sio nzuri; vijana wengi wamekimbia majumbani kwao na kujificha maporini. Hali hii ya ukimbizi imetokea wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa ambapo vijana pamoja na wakina mama wenye mlengo wa upinzania wamekuwa wakikamatwa usiku wa manane na kuwekwa ndani bila sababu za msingi. Hadi juzi kulikuwa na watu zaidi ya 40 jela. Jana Ijumaa watu 20 waliachiwa huru akiwemo Diwani wa Mapogolo Ndg. Ramadhan Garahenga; huku wengine wakiendelea kusota jela.
Kwa bahati mbaya, sintofahamu lipo kwa katibu kata wa Madibila/CHADEMA Ndg. Erick Ngiliama ambaye haieleweki amepelekwa wapi baada ya kukamatwa. Ndg. Ngiliama alikuwa anagombea uenyekiti wa kijiji cha Mahango kwa tiketi ya CHADEMA
Source: CHADEMA DIASPORA : NEWS ALERT: Mgombea CHADEMA atoweka kwenye mazingira ya kutatanisha
Utakuwa na malaria plus plus wewe!!!
atakuwa amejiteka huyo
Bangi wanazovuta chadema mbaya sana zinawapeleka kujiteka kila kukicha kajificha nyumba ndogo anadanganya watu katekwa vikesho kweli.
Tofautisha kati ya watu na binadamu wote niliowataja mzee slaa na mdede hawana sifa ya kuwa binadamu ndiyo maana nimewapa hiyo sifa ingekuwa kwa kingereza tungetumia kiwakilishi it,Kwenye red bold kajifunze kuandika na kwenye blue bold asante kwa kumpa heshima yake.
Umezibugia lakini nawapa ushauri wa bure bangi za kuvutia chooni ni mbaya sana mnalewa malambili.Unafikiri hii ni ile michezo yenu ya Escrow mnayocheza?
atakuwa amejiteka huyo
atakuwa amejiteka huyo
Hapana mkuu linapokuja suala la uhai wa binadamu lazima tuwe na maneno ya busara na isitoshe kinachouzi sana ni kuwa hawa hawa ndio wanaofanya hayo matukio ya kuteka watu wetu na kuwaua kisa siasa na siasa yenyewe kwenye vitongoji/mitaa huu ni ujinga kabisa ebu kumbuka lile tukio la kule geita yule dada anasubiri kutangazwa kuwa ameshinda wamemtoa uhai.Calm down bro,wazoee hao.
atakuwa amejiteka huyo