Elections 2010 Mgombea CCM aliyempiga OCD naye akamatwa

Waache wapigwe tu polisi wamezidi kujikomba kwa CCM, kiasi ya wana CCM kuwaona kama vibaraka wao...Wameikaribisha wenye dharau hiyo na bado watadhalilishwa sana.
 
wakuu,
nyeti hizo kanitonya rafiki yangu aliyeko huko maswa.
inasemwa ya kuwa lengo hasa la huyo jamaa ilikuwa ni kuichafua chadema na alijisahau kuvaa kombati la chadema kama ilivyopangwa.
 
Ndio hapo nikauliza maana kama mkutano wa Shibuda ulikuwa Jukwaani kwenye mkutano kilometa moja toka kwenye tukio iweje yeye ahusike na fujo??? Ama ndio ule msemo TANZANIA NI ZAIDI YA UJUAVYO! ndio umetumika kumtia matatani Shibuda. :doh:
 
ipi hiyo ya kubambikiwa kama walivyotaka kumfanyia mtoto wa mengi akawashtukia. Shibuda hakuwepo katika eneo la vurugu hizo wala hakujua kutokea kwa tukio hilo ila kachomekewa.

anawekwa ndani kwa usalama tu hukumu hadi atakapo julikana kama alihusika
 
CCM wameinamaaa...
wameinukaaa....
wanaona haya aoooooo.......
UWA NDIO UJANJA WAO CCM ILI WAO WAONEKANE WAMEONEWA
 
Mpaka hapo tushajua kwamba sisiemu ndio chanzo cha vurugu zote nchi hii. Si busara kwa mtu mstaarabu kumlima ngwara polisi anayelinda usalama wa raia.
 
Habari nilizopata ni kwamba wananchi wa eneo hilo walilijia juu jeshi la polisi na kutishia kukishambulia kituo hicho kwa sababu ya kutotenda haki -- yaani kutomkamata mgombea wa CCM. Mtakumbuka kwamba kushambuliwa kwa vituo vya polisi kanda ya ziwa ilishatokea huko nyuma katika harakati za kuwatorosha wafungwa.

Kwa kuohofia kitendo hicho kutokeahapo Maswa ndo maana polisi walimkamata mgombea wa CCM!
 
Kaka wagombe wa CCM wana nguvu zaidi ya vyombo vya dola. Hivi ndivyo vyombo vyetu vya dola ambavyo vitahakikisha haki na amani ya nchi inadumishwa.

Watanzania amkeni haya mambo ya mengine lazima tuyamalize Jumapili yaani OCD mzima kupigwa mbele ya umati wa watu? na mtu akadunda aisee ni vigumu kuamini kweli CCM wamelewa madaraka.
 
Habari nilizopata ni kwamba wananchi wa eneo hilo walilijia juu jeshi la polisi na kutishia kukishambulia kituo hicho kwa sababu ya kutotenda haki -- yaani kutomkamata mgombea wa CCM. Mtakumbuka kwamba kushambuliwa kwa vituo vya polisi kanda ya ziwa ilishatokea huko nyuma katika harakati za kuwatorosha wafungwa.

Kwa kuohofia kitendo hicho kutokeahapo Maswa ndo maana polisi walimkamata mgombea wa CCM!

Huwezi kuzuia nguvu ya umma
 
Vyombo vya dola wamezidi kujikomba kwa viongozi wa chama, wataendelea kupigwa kuamrishwa na kunyanyasika, kwa sababu wameweka kando weledi wa kazi zao wanjifanya maboya.
Huyu mgombe wa chama twawala, aliyempiga OCD yuko nje kwa dhamana. Mgombe wa upinzani aliyefuatwaa mabali na tukio lilosababishwa kifo anaendelea kushikiliwa kwa amli ya chama tawala.
Polisi watandelea kunyanyaswa mpaka watakapoamua kufanya kazi kama watu na si roboti.
 
.......vuta picha, huyo OCD kaenda chini kufuatia huo 'mtama' halafu akapata dislocation ya joint yoyote mathalan knee joint au hip joint na kukimbizwa hospital, ingekuwa vipi? au Shibuda kamlamba mtama mtama huyo OCD ofisi kwa OCD, RPC angesema ni jambo la kawaida OCD kudundwa ofisini? Oooohhh, Tanzania yangu..maskini Tanzania yangu...CCM kwanza mengine baadae. Yaani OCD kudundwa ofisini kwake ni jambo la kawaida? Sometime tuwe serious kwa mambo serious...hivi RPC anaongezewa miaka miwili???? you dudes, are you serious? mbona wapo Polisi elite na waadilifu na vijana wanaoweza kuchukua nafasi kama hizo..
 
JAMANI MIE WAGOMBEA WOTE SIJAOANA ANAYENIFAA ZAIDI YA MGOMBEA URAIS BWANA KUGA MZIRAY MAANA YEYE KAMPENI ZAKE HAZINA VURUGU WALA HAHITAJI KUJITANGAZA, NIMESHANGAA HATA HAPA JAMII FORUMS KWA WALE WANAOPIGIWA KURA HAYUPO. JAMANI NAOMBA ATAMBULIWE NA YEYE. NA KWA MTIZAMO WANGU HUU NDIE RAIS ANAYETOSHA:smile-big:
Alipokuwa hapa Mwanza alimpigia kampeni Dr Slaa kwamba ndiye anafaa kuwa rais. Upo hapo? Shida ni kwamba mnawahi kukimbilia JF kabla hamjaenda hata kwenye kampeni.
 
Back
Top Bottom