kapumbiti kapumye
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 201
- 53
uelewa mdogo tu wewe.
hata asipofanya kitu, tunamtaka kwa ajili ya mabadiliko;
unajua ccm wakiwa wapinzani nchi lazima itaendelea coz of the following.
Tutakua tumetenganisha chama na serikali nkimaanisha rasilimali za umma hazitatumiwa tena na ccm mf. TBC taifa
CCM watakua walinzi wazuri sana wa mali za umma na ufisadi utapungua automatic
Tutakuwa tumejijengea utamaduni mzuri na udhubutu wa kukiwajibisha chama chochote kitakachofanya ujinga serikalin
...... endeleza wewe