Mgombea atoa machozi

Mgombea atoa machozi

Hata uwe na upendo na uwezo kiasi gani kwa Watanzania, huwezi kufanya chochote ukiwa ndani ya CCM!
 
Wasomi wanajitambua sana, hawawezi kubuluzwa na wanasiasa wasio na tija kwa taifa hili.

Kwa hiyo wapiga kura ni wasomi tu? Acha dharau hii sio nchi ya wasomi peke yao alafu ao wasomi wamekaa tu nchi ikitafunwa then unajivunia wasomi wasomi wa matumbo au wasomi wa nini? Ebu niambie usomi wa m'bunge anaeitwa Kibajaji kasomea nini? Kwa hiyo nyie wasomi mlimchagua kibajaji asiye msomi awaongoze
 
IKULU KUNA NINI HADI MZEE ATOKWE NA MACHOZI!

MZEE WETU KASHINDWA KUJENGA HATA KIWANDA KIDOGO CHA KUSINDIKA MAZIWA JAPOKUWA ANAO NG`OMBE ZAIDI YA ELFU KUMI! HATARI!

Katika hali isiyo ya kawaida ni lazima tujiulize hiv Ikulu kuna nini?

Babu yetu hana uwezo wakuleta mabadiliko ndani ya nchii kwasababu ameshindwa kuwasaidia wananchi wake wa Monduli eneo linaloongoza kuwa na lidadi kubwa ya wafugaji na yeye mwenyewe kuwa na NG`OMBE ZAIDI YA ELFU KUMI, babu zaidi ya miaka 20 akiwa kiongozi kashindwa kuwajengea wafugaji hata kiwanda 1 cha maziwa ili kutoa uwezo kwa wanainchi husika kupata ajira na hatimaye kuinua kipato chao kila siku.

HALI AMBAYO NI TOFAUTI KABISA NA NYIMBO ZAKE ZA KILA SIKU ZA KUTENGENEZA AJIRA, Monduli kashindwa nchi nzima ndo ataweza kweli? Haaaa kweli ni nyimbo baadae zitakuwa ni NGONJERA.

Yawezekana ni ndoto za kuweza matumainikutengeneza ajira akiwa kazeeka kweli haya ndo maigizo yenyewe ya uzeeni!
F
ASITUFANYE WATOTO WADOGO WAKULISHWA UNGA WA NDELE NASEMA NOOOOOO. MZEE OUT

TAFAKARI,CHUKUA HATUA.

Nitampigia kura hivyo hivyo!
 
watakao mpigia kura wakapimwe akili

Maana akili zao zitakuwa ni za juu kuliko nyinyi mnaoshangilia kujengwa kwa barabara zenye kiwango kibovu wakati hata kuzitumia hamzitumii,hamna hata baiskeli yakutembelea kwenye hizo bara bara!
 
Amejenga hajajenga,sisi tumeamua ni LOWASA tu,miaka 54 ,ccm wamefanyanya nini,?nawatafanya nini kipya?
 
acuna 15:13 Today
watakao mpigia kura wakapimwe akili

Ahahahhaaa hii nimeipenda yaani hao ni malofa watakao mpigia lowasa kura
 
Hv watanzania wamelogwa na nini? Hv kusoma haujui hata kufananisha picha tu pia hujui? Mtu u name on a mgonjwa yule na msanii ahadi hewa kibao halafu bado unatubania pua hapa eti lowasa ndio mpango mzima shame of you
 
Yaani sisi ni lowasa tu, hata msemeje. Lowassa hoyeeeeeeee!!!!
Hata kama lowassa tu, ni hoja ya msingi kama kweli huko monduli hata kiwanda cha kusindika maziwa hakuna. Je ni mabadiliko gani tutayapata? Ila kama masuala ya mahaba kwake sio mbaya ukimpa kura yako.
 
Kawafundisha wa kwao kutembea na mifugo toka Monduli hadi Kiteto hadi Mvomero.
Taabu sana huyu jamaa.

unatuaminisha pia kuwa wale kinadada wanaojiuza ni CCM na Magufuli wamewafundisha
 
Back
Top Bottom