Mgogoro wa nyumba ya hayati Rashid Kawawa

Mgogoro wa nyumba ya hayati Rashid Kawawa

Status
Not open for further replies.
Yaan H.Mdee kamwe hakukosea kumwita huyu Zainab 'njuka'. Maamuzi yake badala ya kulinda heshima ya baba yake yanafanya kinyume.
 
wewe ndiye umepotoka, kwani mgogoro huu umesababishwa na ndoa ya wake wengi?
angebakia kivyake baadaya mke wa kwanza unafikiri yangetokea wapi haya ama huyu ni mtoto wake sio mkewe??
 
Na juzi nimesikia mhadhara pale kawe ati vijana wanamwomba shehe aongeze wawe sita
shame on them kuwahudumia wanapata shida wanabaki na
 
Tatizo la kuoa wake wengi hilo,jamani vijana wenzangu wakislamu tuwe makini,dini inatupotosha

Kwa hiyo mke wako akifa wewe utakaa hivyo hivyo, yule mzee hakuwa kama unavyowaza si uulize kwanza ndo uropoke.
 
Watoto wa Kawawa wanatia aibu, wana kazi nzuri, wengine ni waheshimiwa fulani, kwenda kugombea nyumba, mbona hakumgombea baba yenu mkaenda kumtunza, please, respect ni nzuri, mama alijitahidi kivyake ati.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom