Mgogoro wa nyumba ya hayati Rashid Kawawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgogoro wa nyumba ya hayati Rashid Kawawa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Jun 19, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Habari kwa mujibu wa blogu ya Beda Msimbe, inasema kuwa, umezuka mzozo katika familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, hayati Mzee Rashidi Mfaume Kawawa, baada ya mjane, Asina Kawawa kufanya vitu vinavyotishia nyumba yao iliyopo Kilimani mjini Dodoma kutaka kuuzwa ama kupangishwa.

  Mjane huyo aliyekaa na Mzee Kawawa katika miaka yake ya mwisho amedai kuwa nyumba hiyo ni mali yake na kwamba alirithishwa na Mzee Kawawa.

  Nyumba hiyo ipo kama makumbusho na kimsingi ni moja ya maeneo ya kihistoria ya mwanasiasa huyo aliyepigania Uhuru wa Tanganyika.

  Pamoja na Mama Asina kuwa mbioni kupangisha nyumba hiyo iliyopo kiwanja namba 34 eneo la Uzunguni mjini Dodoma, nyumba yenyewe ipo hatarini kuuzwa na benki ya CRDB baada ya kutumika kama dhamana ya mkopo wa Shilingi milioni 350 kwa ajili ya kujenga nyumbanyingine pembeni mwa hiyo, mali ya Asina.

  [​IMG]

  Abdalah Zombe, akimsaidia mjane wa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Mzee Rashid Mfaume Kawawa, Asna kuondoka katika nyumba ya Kiwanja namba 34 iliyopo Kilimani mjini Dodoma baada ya kuzuka kwa mzozo kuhusu mjane huyo kutaka kupangisha nyumba hiyo na kiwanja.
   
 2. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii sasa balaa. 2natoana roho yarabiii....
   
 3. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,285
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Huyo mama ana tamaa ya mali..hapo anadhihirisha kuwa alikuwa na mzee ili ajipatie vyake tu.
   
 4. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Zombe nae ni ukoo wa Kawawa!!?? hao dio personnel bodyguard wa Mama Asina Kawawa??
   
 5. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hiyo ghorofa pembeni ya nyumba ya zamani nilisikiaga serikali inamjengea Kawawa maana hata ujenzi ulianza toka yuko hai, kumbe ni mkopo mi nlijua serikali imetelekeza ujenzi baada ya mzee kufa.
   
 6. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  ukifakufa na lako halipo
  hata watoto wake hawana habari
  kila mtoto analinda mkate wake hahahaha
   
 7. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Zombe katokea wapi na huyo mama,

  Kamrithi nini?
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  sioni tatizo kama nataka kuipangisha
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,775
  Trophy Points: 280
  [h=3][FONT=d742ee695d1fc2180e9df838#a00400]Familia Ya Hayati Mzee Kawawa Yaingia Katika Mgogoro Mkubwa Wa Kifamilia[/FONT][/h]Posted by Mjengwa | Sunday, June 19, 2011

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]Na Mwandishi wetu Dodoma. IKIWA ni takriban mwaka mmoja sasa tangu kufariki, Simba wa Vita, Mzee Rashid Kawawa (pichani), familia yake imeingia katika mgogoro baada ya mjane wake kudaiwa kuamua kupangisha moja ya nyumba ya marehemu bila ridhaa ya familia.
  Mmoja wa watoto wa hayati Kawawa Zainabu Kawawa alisema katika hali ambayo hawakutarajia mama yao huyo ameamua kuwatimua katika nyumba hiyo ili apangishe.
  Zainabu ambaye alikuwa akizungumza na waandishi wa habari, mjini hapa, alisema mama yao huyo ameamua kuipangisha nyumba hiyo iliyoko katika eneo la Kilimani bila kuwahusisha wanafamilia wakiwemo watoto hao wa marehemu.
  Alisema mama huyo anadai kuwa nyumba hiyo amerithishwa na marehemu mume wake kabla umauti hauja mfika.

  "Sisi kama watoto hatuna taarifa yeyote kama baba alimpa nyumba hii mama yetu" alisema Zainabu.
  Alisema wao kama watoto hawana tatizo na nyumba hiyo kwani wanazo nyumba zao lakini wanachokataa ni kupangishwa kwa nyumba hiyo ambayo kwa hapa dodoma ni kama kumbukumbu yam zee kawawa.

  "Sisi tunachosema hii ni kumbukumbu ya Baba yetu na sisi tunapokuja Dodoma tunafikia hapa na hata watu mbalimbali wanajua hivyo iweje leo ipangishwe" alihoji Zainabu.

  Alisema kuwa mama yao huyo amemua kuchukua mkopo toka Benki ya CRDB zaidi ya sh.milioni 74 kwa udhamini wa nyumba hiyo na hadi sasa deni la mkopo huo limeshafikia hadi sh milioni 102 kutokana na kutolipwa jambo ambalo linahatarisha nyumba hiyo kupigwa mnada, vinginevyo familia inapaswa kulipa sh.a sh milioni nane kila mwezi benki.

  "sisi tumekubali mama kumlipia hilo deni lakini bado hataki anachotaka kuipangisha nyumba sasa ni mpangaji gani anaweza kulipa sh milioni nane kwa mwezi nyumba hii" alihoji Zainabu.

  Kuhusu tuhuma hizo, mjane huyo wa Mzee Kawawa, Asina Kawawa amesema nyumba hiyo ni mali yake na ana uwezo wa kufanya chochote.

  Alisema nyumba hiyo aliachiwa na Mumewe baada ya kuinunua toka serikalini mwaka 2007.
  " Mimi namshangaa huyu mtoto mimi nyumba hii amenirithisha marehemu mume wangu sasa yeye anachokataa ni nini mimi kuipangisha si yangu" alisema mama huyo.
  MJENGWA - Picha, Habari & Matangazo: Familia Ya Hayati Mzee Kawawa Yaingia Katika Mgogoro Mkubwa Wa Kifamilia
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 10. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  2007 kawawa kainunua toka serikalini..... Kumbe bado zinauzwa...
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  zainab mama, mambo ya familia na media tena? muache mama ale matunda ya ujane bana. tafuta wa kukaba na ww uachiwe yako!
   
 12. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  familia yenye watoto wasomi haitambui kuwa mama ndo mwenye mali? Na ni kwa nini wayazungumze kwenye media jamani? Chacha ndugu yangu wasaidie shemejizo wewe mura ni mtu mzima siku hizi na mkweo alikupenda b4 hajafa. Mwamwachie huyo mama mali zake.
   
 13. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Zainabu Kawawa!
   
 14. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Aisee inawezekana eeh!!
   
 15. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #15
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  labda anatekeleza wajibu tu wa kazi yake
   
 16. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #16
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ni aibu sana kwa familia kuipangisha hiyo nyumba..
   
 17. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #17
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu sijasoma hii. Nini tena kimejiri? Hapa unamuongelea Husna au?
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,587
  Likes Received: 82,209
  Trophy Points: 280
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"]Sunday, 19 June 2011 07:45 [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]digg

  By Florence Mugarula, The Citizen Reporter

  Dodoma. The family of former Prime Minister Rashidi Kawawa is embroiled in a dispute over a multi-million shilling property in Dodoma. At the centre of the dispute pitting Mzee Kawawa's children and his widow, Asina, is a house in the municipality's plush Kilimani area. Two of Mzee Kawawa's children involved in the row are MPs.

  The wrangle came out in the open yesterday when the two sides bumped into one another at the property comprising a house formerly owned by the government and another, which is under construction at the same site.

  Mzee Kawawa's children, Vita and Zainab, who are MPs, are seeking to stop Asina from using the family house as she wishes.

  Zainab accused Asina of unilaterally planning to rent out the house, which Mzee Kawawa's children want preserved and turned into a museum in remembrance of the former veteran politician who died on December 31, 2009.

  Mr Kawawa served in various top government and party positions for many years before retiring. He was considered incorruptible, and commanded nationwide respect.

  Zainab told reporters that the house was in danger of being auctioned after it was used as security in securing a Sh350 million loan from CRDB Bank in 2007. "We want this house to remain as it is in honour of our father…we will clear the debt, but we cannot allow her to bring in tenants," she said.

  However, a furious Asina arrived shortly in the company of five people, including former Dar es Salaam Regional Crime Officer Abdallah Zombe, and declared that the property belonged to her, saying Mzee Kawawa's children had nothing to do with it.

  She admitted planning to rent the house, saying Mzee Kawawa gave it to her in 2007, and added that she was the one putting up the other building on the plot.

  "They have been living here for more than one and a half years…I now want to rent it," she declared before Mr Zombe led her to a waiting vehicle, which then sped away. Sources said Mr Zombe is Asina's close relative.

  Asina earlier had to be restrained after hurling a mobile phone at Zainab and attacking attack a security guard. She bit the watchman when he tried to prevent her from physically attacking Asina.

  Zainab said she was speaking on the behalf of her siblings. Vita made a brief appearance and left before Asina arrived.

  Zainab said Mzee Kawawa lived with his family in the house for several years, and that they opposed any attempt to change its use. "Our collective stand is that the house should be preserved and turned in to a museum," she said, adding that Mzee Kawawa bought the house from the government in 2007.

  She said Mzee Kawawa in the same year used the house as collateral in applying for a Sh350 million loan from CRDB Bank, which decided to issue it in phases and had already released Sh74 million.

  The family went through the loan documents after their father's death and concluded that the debt could not be paid easily if they allowed the widow to take the entire loan.

  "We then decided to ask the bank to stop releasing more cash as we discussed how to repay the first instalment," Zainab said.

  The debt has since risen to Sh102 million with interest, and Mzee Kawawa's family fear that the house could be auctioned by the bank, which is supposed to be paid Sh8 million every month.

  Zainab said they were not ready to see their father's image being tarnished by the "ill-advised" actions of other people. She added: "I am ready to repay the loan, but under no circumstances should the use of the house be changed."

  She accused their stepmother of rejecting plans to offset the debt.

  "As a family, we have no objection to her building another house on the plot, but we need her to respect this old house because it carries our father's history," said Zainab, who added that they would seek President Jakaya Kikwete's intervention if necessary.

  "We want our stepmother to understand that we are not being driven by selfish interests…this is a matter of protecting our father's name…he lived a simple and honest life, and we are don't want his name to be embroiled in debt scandals after his death," she said.

  The dispute attracted the attention of Dodoma District Commissioner John Tupa, who advised the two sides to settle the matter amicably.

  Earlier, the Dodoma district police boss arrived at the scene, but left after a few minutes.

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 19. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #19
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo la kuoa wake wengi hilo,jamani vijana wenzangu wakislamu tuwe makini,dini inatupotosha
   
 20. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #20
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe ndiye umepotoka, kwani mgogoro huu umesababishwa na ndoa ya wake wengi?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...