Mgogoro wa Ethiopia unadhihirisha umadhubuti wa mfumo wetu wa mikoa dhidi ya ule mfumo wa majimbo

Zanzibar si nchi ya waarabu.....

Usituingize waislamu katika ujinga wako !!!

Wapi waislam wamefundishwa woga wa kutopambana na unyonge unaosababishwa na waarabu ?!!!

Kaa na vituko na ujinga wako....kinachokuuma ni nini kwa Jamshid kufurushwa kwa mabwana zake Uingereza?!!!!

Nchi za kiarabu zilizofanya mapinduzi ni nyingi tu na kule WASALITI hukiona cha mtema kuni.....haramu ni Zanzibar tu?!!!?

Hiyo laana ya kikichaa unayompa baba yetu wa taifa mwenye heri Nyerere ikurudie juu ya utosi wako!!!!


Nchi za waafrika hizi zikiongozwa na huyo unayemsifia Laanatullahi Nyerere kaziacha ziko hivi

NB : HAMNA WAARABU HAPO


Ghana, Tanzania, Ethiopia and 30 others are on the World Bank's heavily indebted poor countries' list​


Emmanuel Abara Benson

November 12, 2021 10:59 AM



Poorest countries in Africa in 2021


Poorest countries in Africa in 2021


  • The heavily indebted poor countries' list is a joint initiative by the World Bank and the International Monetary Fund.
  • The aim of the initiative is to ensure that no poor country in the world ever faces a debt burden it cannot manage.
  • Out of 36 countries on the list, African countries dominate.

There are currently about 34 African countries on the World Bank and IMF's heavily indebted countries' list, according to data obtained by Business Insider Africa.


Among these heavily indebted poor countries are: Ghana, Tanzania, Ethiopia, Benin, Burkina Faso, Burundi, Cameroon, Central African Republic, Chad, Comoros Islands, Democratic Republic of Congo and Republic of Congo. Others include: Ivory Coast, Eritrea, Ethiopia, Gambia, Guinea, Guinea-Bissau, Liberia, Madagascar, Malawi, Mali, Mauritania, Mozambique, Niger, Rwanda, Sao Tome and Principe, Senegal, Sierra Leone, Somalia, Sudan, Tanzania, Togo, Uganda and Zambia.

The heavily indebted poor countries' list is a joint initiative by the World Bank and the International Monetary Fund (IMF) which was launched in 1996. According to information obtained from the IMF fact sheet, the aim of the initiative is to ensure that no poor country in the world ever faces a debt burden it cannot manage.

1636866738613.gif


1636866738792.gif


1636866738925.gif
 
We nawe tutokee hapa, na matusi yako, hiyo lanatullahi ina sababu gani hapa
Nyie ndio kungekuwa na majimbo mngeleta shida sana

Kuna tusi hapo au huyo mdini mwenzako katajwa umeanza kuungua maini ?? kila neno kwako limekuwa tusi :p
:p:p:p

Kwani hivi bila majimbo si mnasema wachaga wasitawale au vipi ?? na wengine mnawabambikizia kesi za kigaidi
 
Kasome ripoti ya tume za Nyalali na Warioba.
The least favored administrative policy, ipo nyuma ya Zanzibar na Tanganyika kuwa na serikali moja.
Failed miserably, ni kwamba tu wewe hujui mambo ya siasa, ni mshabiki.
Mimi sio mshabiki wa Siasa, mimi naandika facts. Hivi honestly kabisa unaweza kuja hapa na kudai chaguzi zetu ni huru na za haki kwa asilimia 100? Kumbuka niliyem_quote alidai hiyo sera imeshindwa kwenye chaguzi. Sasa hiyo ya Nyalali na Warioba inatokea wapi hapa!?
 
Ukimuacha hayati Nyerere ni kiongozi gani aliyeacha hiyo legacy nzuri usemayo?!!??

Anzia Misri mpaka kusini mwa afrika....yupi huyo?!!!

Mandela inajulikana kwa historia yake kuzongwa na "untold stories" nyingi tu.......
Let's try Zambia
 
Acha umatako

Yearly tax filings unafanyia New York au unafanyia jimboni kwako unakokaa?

Stop this nonsense

Tax codes zako na registrations zipo na unawajibika jimboni kwako,New York unapita tu kama mtazamaji unanunua vitu huko mabarabani kama mataahira mengine

Unachofeli ni kwamba Bahresa ni "mkazi" wa Dar es Salaam kwa sasa..anawajibika kila kitu chake kwa mkoa huu japo yeye ana "asili" na alikotoka Zanzibar

Hawajibiki na Zanzibar ki-administration,anawajibika na Dar..analipa kodi zake zote,miundombinu yake yote na uchafuzi wake wote wa mazingira na nyumbani kwake anapokaa fixed address yake ni Dar es Salaam,yeye ni "mkazi" wa Dar,ana haki zote za ukaazi wa Dar

Hiyo "asili" sijui "alitokaga" wapi sijui ambako hakai huko tena kama permanent residence yake ni kitu kingine kabisa na hakihusiani na majimbo wewe taahira

Na concept ya majimbo ni kwamba kutoka madaraka ya maamuzi na kujitawala wa haya maeneo kutoka kwa mtu mmoja ambae ni rais kutoka federal government kupangia watu wa eneno fulani asilolijua tabia zake na mahitaji yake locally na wala sio huu ujinga wako wa "wazawa" na "wageni" unayoleta hapa

Uzawa na ugeni unakujap popote pawe na majimbo au mikoa au chochote

Majimbo ni kumpunguzia rais madaraka ya maamuzi kuhusu haya maeneo asiyoyajua hata tabia zake...kwanini wajiamulie mambo yao ya ndani wenyewe maana wao ndio wanajijua zaidi kuliko huyo rais mavi?

Unaogopa rais kupunguziwa madaraka,unataka rais ndio awe Mungu wa kila kitu TZ kama ilivyo sasa....

Una shida sana aisee
Income tax is not the only tax i'm paying pumbavu wewe. People file their income taxes.

Bakhresa ana viwanda Mkoa wa Pwani na analipa Taxes mkoa wa pwani pia.

Central government is not necessarily led by one person. Central governments have Judiciaries and legislatures katika na kutoka kila sehemu ya nchi.

Majimbo hayampunguzii madaraka rais, acha ujuha na upumbavu wewe, hicho kichwa chako kina uharo? Katiba ndiyo inayompunguzia rais madaraka. Unaweza kuwa na majimbo na ukawa na rais mwenye madaraka kama nchi yenye central government, angalia kenya.

Kuna central governments zinazoongozwa na prime Minister directly responsible to the legislature. na composition ya legislature inatoa watu kutoka vimji mpaka vya watu elfu kumi.

Blood clis.
 
Mimi sio mshabiki wa Siasa, mimi naandika facts. Hivi honestly kabisa unaweza kuja hapa na kudai chaguzi zetu ni huru na za haki kwa asilimia 100? Kumbuka niliyem_quote alidai hiyo sera imeshindwa kwenye chaguzi. Sasa hiyo ya Nyalali na Warioba inatokea wapi hapa!?
Ndio maana nikakwambia wewe ni mshabiki wa siasa.
Unashinda tu humu ndani kupiga kelele, jisomee unapopata nafasi. It's fun.
 
Habari wanajamvi,

Kama ilivyo kawaida, kufanya tafakuri ya mambo yale mtu anayoyasikia maredioni na magazetini kuhusu yanayoendelea kwenye siasa za nchi mbalimbali.

basi nami nimejikuta nikiyatafakari sana yale yanayoendelea huko Ethiopia na vita vyao vya serikali ya kitaifa na wanamgambo wa jimbo lao la tigrinya, ambapo sasa vita hivyo vimeonekana kuvuta na makundi mengine ya makabila toka majimbo tofauti na tigrinya, tena mbaya zaidi makundi hayo yameanza na kutaka kudai uhuru.

Sasa, nikakumbuka mfumo wao wa uongozi wa Ethiopia wa kutumia majimbo, na kukumbuka jinsi baadhi ya watanzania huwa wanausema mfumo wetu wa mikoa ambao mkuu wa mkoa anateuliwa na rais hivyo kufanya serikali kuu kuwa na mkono wa moja kwa moja kwenye kuongoza mkoa, ambapo ni tofauti na mfumo wa majimbo ambapo kiongozi wa mkoa anapigiwa kura

Ubaya wa majimbo ni kuwa viongozi hao wa majimbo wana kuwa na mamlaka makubwa hata yanawajaa vichwani mara nyingine na kuwa fanya kutaka kuwa juu ya serikali ya kitaifa

Mfano serikali ya jimbo la tigrinya ambalo viongozi wake ndio vinara wa kisapoti waasi wapiganao dhidi ya serikali kuu. Mbaya zaidi mfumo huo wa majimbo unatoa mamlaka ya majimbo kuunda majeshi yao, ndio yanaibuka hayo ya makundi ya kiti gray, ambayo kiukweli ni jeshi la ndani la jimbo la Tigrinya

Kila nikiangalia utulivu wa nchi yetu na jinsi ambavyo serikali ni madhubuti, hivi, hata siuoni mwanya wa mkoa fulani kutuletea vurugu za kujitenga ama kuanzisha mapigano ndivyo ninazidi kuu appreciate mfumo wetu wa mikoa tulio nao

Watanzania badala ya kutumia muda mwingi kuponda mifumo yetu ya kisiasa nashauri tuanze kuisifia, maana ni mifumo inayotuletea amani na umadhubuti wa hali ya juu wa taifa na serikali kuu yake.

Viongozi waasisi wa taifa letu walikuwa na ujiniasi wa kipekee kabisa maana taifa hili walilolisuka baada ya kulipokea toka kwa wakoloni wamelisuka vizuri sana, ulimbukeni wa kukaa na kuona mifumo ya siasa ya wezetu ni bora zaidi ya kwetu tukiuendekeza utafanya siku moja tufumuefumue taifa hili lililosukwa vyema.
Naona kuna mapungufu mengi sana kwenye mfumo wetu wa Kimikoa. Siungi mkono moja kwa moja mfumo wa majimbo, lakini nadhani tungepitia upya mfumo huu uliokuwepo na kuuboresha. Na pia niseme si wajibu wa chama cha siasa kubadili mfumo wa kiutawala. Swala hili linatakiwa liwe kwenye katiba. Sio kila kiongozi akija anaamua kuwe na mikoa mipya na wilaya mpya kwa matakwa na maslahi yake. Kama tunavyolalamikia mkoa unataka kuundwa Chato

Tufike mahali tuone je kweli tunahitaji mikoa na wilaya mpya kila wakati. Kwa mtazamo wango mikoa mipya na wilaya mpya huongeza gharama za kiutawala. kwa sasa pesa za kimaendeleo hutumwa kwenye kila wilaya. kama ni hivyo je kunahaja ya kuwa na ofisi za mikoa?

Nimena swala lingine la kuwa na halimashauri mbili ndani ya wilaya moja hasa zile zenye halimashauri ya mji na halimshari za wilaya hizi zitaenda kuwasumbua sana wananchi watu walizoea kufuata huduma mjini sasa wanajengewa ofisi na hospitali nyingine nje ya mji na mara nyingi hata jografia ya wilaya inakataa. mwananchi atoke upande mmoja avuke mji aendeupande wa pili kufuata ofisi za halimashauri ya wilaya.

Kimsingi niseme mifumo hii ya kimikoa majimbo na mingine mingi inatoana na historia yanchi yenyrwe na vile watu walivyokubaliana. swala hili likiwa kwenye katiba hakuna chama kitakuja kubadili mfumo huo.

Jirani zetu Wakenya waliunda katiba mpya wakaja na mfumo wa County ambazo zinaongozwa na viongozi wa kuchaguliwa amabao hawana majejeshi. Nimeona mfumo huo umefungua nchi kimaendeleo. Tuachana na huu utaratibuambao Rais au Waziri anaweza badili mifumo ya kiutawala apendavyo.
 
Huyu jamaa anakula bangi mgogoro wa Ethiopia kwa sasa sio wakijimbo tena hauna picha ya kijimbo tena, sasa unapicha ya kitaifa, pia Tanzania tumechanganyika kila kona, fikiria Wachaga utawakosa wapi na wamejenga wanakoishi unafikiri watafurahia kanda ya kaskazini kujitenga ???
 
Sasa ilikuaje u-Rais akapewa kikwete ambaye awamu yake tulishuhudia ufisadi wa kihistoria??? Au kwa kuwa ni CCM basi anakua sio dog!!.... Ooh vp kuhusu Mkapa ambako mikataba yote ya madini ya kinyonyezi ilisainiwa? Au hakua dog??

Vurugu zipi? Wewe unakumbuka enzi za Odinga 2003-2008 Kenya ilikalika? Ilikua kila siku maandamano na migomo. Tokea handshake ya Odinga na Kenyatta hyo 2017 umewahi sikia migomo au maandamano ya kisiasa?? Mwenye Vurugu ni Rutto tu ila kuanzia Mombasa mpaka Nairobi hadi Kisumu pametulia tuli hta ugaidi hausikii tena!!!

Ufisadi umeongezeka unatumia takwimu zipi?? Unaweza linganisha na ufisadi miaka ya KANU? You can't be serious.

Tafiti zinaonyesha chuki za kikabila zimepungua sana tokea county zianze maana kila kabila lina breathing space ya uongozi. Tofauti na zamani ambapo mkikosa Urais basi ujue pesa zote zitaishia Kwa wakikuyu!!

Kuna magovernor wameburuzwa kortini kwa ufisadi na wengine kupigiwa kura ya kutokua na imani nao. Kuna teuzi za mawaziri wamepigwa stop na bunge kisa ufanisi. Same to Mahakama imekua strong kublock maamuzi ya serikali yasiyo kuwa na maslahi ya watu. Hivi Tz kuna bajeti iliwahi pingwa? Kuna waziri amevuliwa bungeni kisa ufanisi mdogo? Kuna tozo iliwahi pingwa na wabunge hadi wakambana waziro aifute au mara zote husubiria maamuzi ya Samia tu na JPM!!

Fuatilia siasa za Kenya ndio utaelewa tofauti
Yote upo sahihi lakini kama Kenya kuna Demokrasia ya kweli mbona Raila aliporowa ushindi mara 2. Kuhusu ukabila kwasasa Kenya ndipo ukabila umeongezeka kwa kasi kubwa na uchaguzi wa 2022 ukabila ndio utaamua nani mshindi
 
Wewe unakaa Atlanta,umeenda New York kwa ishu zako,unalipa New York taxes zipi?

Taxes maana yake tunasemea kwa mwaka mzima unafile taxes net wapi ndio maana yake
Sales Tax, Road/airport toll, hotel , entertainment ..... wewe kamasi kichwani.
Sio unavuka kivuko kila mvukaji anaambiwa alipie kodi ili mvuke wewe unachukulia ndio "kodi" hasa

Stop this nonsense
Uwe unasoma receipts, huwa zinainisha taxes mpaka city taxes in amount.
Kama ushaishi States inatakiwa ujue hilo, sijui kuhusu huko kwenu mashati labda receipts hazihainishshi taxes.
Mwenye kuongoza serikali ni rais na wala sio hizo branches zote ulizotaja hapa..everyone knows thats a lie


Unataja taja judiciary kama malaya vile,judiciary inapanga vijiji na mitaa yenu huko mwanza inaongozwaje?

Unataja taja bunge kama malaya vile as if bunge ndio linakuja kukusanya kodi au kusafisha soko au kuwajengea shule au kusimamia mashamba ya ushirika,etc?
Wewe kwa upumbavu wako unaweza nitajia branches of government ni zipi?
1. Executive
2. Judiciary
3.Legislature.
hata kukiwa na majimbo, hizi branches zitakuwepo kwenye majimbo. Na zinatawala kiuliko unavyofikiria. Raisi akiamua kitu against constitution, judiciary inakataa.
Ukitaka kujenga shule kwenu matombo , bunge lazima lipitishe budget. Sasa utasemaje hivi vyombo havina maamuzi?
Unaweza kuwa na governor Moshi? No, Judiciary won't let that happen kwa sababu it's against the "Constitution" kwa hiyo Judiciary inasimamia mitaa na vijiji inaongozwaje,.
Bunge pia, hilo ndio lililopitisha sheria ya serikali za mitaa.
What a dumb f#ck!
Unafeli sana kuchukulia kampuni ni mtu binafsi,kampuni ni raia binafsi kama Mzee Bahresa alivyo raia binafsi,kila mtu hapo ana-file taxes zake binafsi yake

Mzee Bahresa ana-file his personal taxes kama individual binafsi kwa his personal income kwenye eneo analoishi na permanent address yake ambayo ni Dar

Makampuni yake ni individual entities na zipo na permanent offices maeneo mbali mbali Tanzania na nje ya nchi na yana file taxes na kulipa hizo taxes katika maeneo waliyopo huko huko Bahresa kama mtu binafsi hausiki,yeye ni shareholder tu na anapewa gawio lake
Yes, Capital.
Capital pays taxes and capital reap profits. Whose Capital? Bakhresa"s kwa hiyo Bakhresa ana mchango mkubwa wa Taxes Pwani kuliko Mzee Mpili.
ata hujui kabisa mtu mwanadamu na kampuni ni entities mbili tofauti zenye utu na personalities tofauti bila mahusiano ya wajibu na kazi zao independently

Wewe unamchukua bahresa unamchanganya na makampuni yake unakoroga kupata uji mmoja,what a stupid person you are!
You are an ass wipe bruh!, mtu mwanadamu anaweza ana kampuni na yeye ndiye anayekula faida. Corporations are entities that can be sued but they can not reap profits and buy yatchs. Siyo kila kitu unachokisoma basi ukitafsiri kama mwanafunzi wa EGM. When you read in Washington Post that Bill Gates is explaining about Microsoft's Monopoly, or Mark Zuckenburg explaining about facebook's privacy, thats them protecting their money. You can't say Microsoft is a billionaire!
apa shida ni nyie kuogopa central government na rais kupunguziwa madaraka na kupewa wananchi na viongozi wao waliowachagua wao binafsi kwenye maeneo yao wao maana ndio wanayoyajua na kujua shida zaidi ya yeyote

Huu uoga wa kiCCM muache mbuzi nyie
Hata sasa hivi rais anaweza kuondolewa madarakani na theluthi mbili ya wabunge, anytime...
You can be a weak President right now kama huna Bunge. Na unaweza kuwa rais na ukatawala majimbo yote kwa kuiba kura.
It's the same game.
 
Yote upo sahihi lakini kama Kenya kuna Demokrasia ya kweli mbona Raila aliporowa ushindi mara 2
Demokrasia au katiba mpya? Tokea katiba mpya iwepo Urais alioporwa mahakama ilitengua ila akasusia uchaguzi wa marudio kama angeshiriki na kuporwa tena then mahakama ingetengua tena na tena.

2. Demokrasia inaonekana mfano kuelekea 2022 Odinga anazurura kila anapotaka tena kwa pesa za serikali same to Ruto wote wanatumia pesa ya serikali kupoga campaign na hujaona mmoja kaitwa mchochezi cjui zuio la mikutano kama hapa TZ.

So Demokrasia ipo zaidi ya huku.
 
""Mbaya zaidi mfumo huo wa majimbo unatoa mamlaka ya majimbo kuunda majeshi yao""

Hii sentence umechomekea.
Zipo nchi nyingi duniani zina mfumo huu lakini majeshi yanakuwa ni ya serikali kuu(overall).
Kama ni hivyo kwa waethiopia basi ni wao waliamua kuboresha kwani mfumo wa majimbo haukulazimishi kucopy kila kitu na haukukatazi kuongeza kitu.

Unaweza ukacopy lakini ukaiweka kwa namna inayokufaa. Tusiwe rigid.

Kwa Tanzania tukitaka tuige huu mfumo ni lazima pia tukae chini na tujadi ili tusije kudisturb mfumo wa maisha tuliyonao.
 
Uko Sahihi mkuu. Kwenye mfumo wa majimbo Serikali kuu inabaki kusimamia Jeshi la Ulinzi, Mambo ya Nje, kodi za shirikisho na mahakama ya rufaa/kuu.
""Mbaya zaidi mfumo huo wa majimbo unatoa mamlaka ya majimbo kuunda majeshi yao""

Hii sentence umechomekea.
Zipo nchi nyingi duniani zina mfumo huu lakini majeshi yanakuwa ni ya serikali kuu(overall).
Kama ni hivyo kwa waethiopia basi ni wao waliamua kuboresha kwani mfumo wa majimbo haukulazimishi kucopy kila kitu na haukukatazi kuongeza kitu.

Unaweza ukacopy lakini ukaiweka kwa namna inayokufaa. Tusiwe rigid.

Kwa Tanzania tukitaka tuige huu mfumo ni lazima pia tukae chini na tujadi ili tusije kudisturb mfumo wa maisha tuliyonao.
 
Usijifunze kwa walioshindwa tu, Jifunze kwa waliofanikiwa huku ukiangalia alieshindwa alikosea wap ambapo mwenzake aliefanikiwa akukosea.

Sijamanisha mfumo wa mikoa nisahh au sio sahihi.
 
Nchi za waafrika hizi zikiongozwa na huyo unayemsifia Laanatullahi Nyerere kaziacha ziko hivi

NB : HAMNA WAARABU HAPO


Ghana, Tanzania, Ethiopia and 30 others are on the World Bank's heavily indebted poor countries' list​


Emmanuel Abara Benson

November 12, 2021 10:59 AM



Poorest countries in Africa in 2021


Poorest countries in Africa in 2021


  • The heavily indebted poor countries' list is a joint initiative by the World Bank and the International Monetary Fund.
  • The aim of the initiative is to ensure that no poor country in the world ever faces a debt burden it cannot manage.
  • Out of 36 countries on the list, African countries dominate.

There are currently about 34 African countries on the World Bank and IMF's heavily indebted countries' list, according to data obtained by Business Insider Africa.


Among these heavily indebted poor countries are: Ghana, Tanzania, Ethiopia, Benin, Burkina Faso, Burundi, Cameroon, Central African Republic, Chad, Comoros Islands, Democratic Republic of Congo and Republic of Congo. Others include: Ivory Coast, Eritrea, Ethiopia, Gambia, Guinea, Guinea-Bissau, Liberia, Madagascar, Malawi, Mali, Mauritania, Mozambique, Niger, Rwanda, Sao Tome and Principe, Senegal, Sierra Leone, Somalia, Sudan, Tanzania, Togo, Uganda and Zambia.

The heavily indebted poor countries' list is a joint initiative by the World Bank and the International Monetary Fund (IMF) which was launched in 1996. According to information obtained from the IMF fact sheet, the aim of the initiative is to ensure that no poor country in the world ever faces a debt burden it cannot manage.

View attachment 2009819

View attachment 2009820

View attachment 2009821
Unahamisha magoli eee?!!!

Ni kweli tu masikini ukitulinganisha na hao walioendelea.....ila ndio nyumbani kwetu.....hatuwezi kukukataa kwa uhalisia tulionao........

Hatuwezi kukubali waarabu waliotoka bara arabu wayasigine MAPINDUZI yetu matukufu......si lazima mambo yetu matukufu yawe kwao matukufu and vice versa is true.........

MAPINDUZI DAIMA
SIEMPRE JMT
 
Kwanza nijibu lile swali langu ulilokimbia

Lete ushahidi muingereza alimsaidia Mfalme Jemshid kueneza uislamu mnaouiita uarabu ??

By the way huyo Muingereza ni Bwana wa huyo Laanatullahi Nyerere yeye ndiye aliyemweka madarakani kwa kutoa ngawira ya almasi ya Mwadui na kuivamia Zanzibar
Unakosa umakini wa kutembea na mtiririko wa mfano niliokupa........ulisema Tanganyika imekuja kueneza ukatoliki huko Zanzibar....nikakujibu kuwa Zanzibar iliyokuwa ya Jamshid juu yake kulikuwa na mwingereza na mwingereza bwana wa Jamshid ni muanglikana...je muanglikana alikubali Jamshid asaidie ukatoliki uenee huko?!!!
Hoja yangu ndiyo hiyo......nikaendelea kukukumbusha kuwa Jamshid alikuwa mfuasi wa Ibadhi....na kwa kuwa wazanzibari wengi ni wafuasi wa sunni basi hoja ya yeye kueneza uislamu wa ibadhi inakufa na kubaki kuwa kizazi chake kilikuja afrika kutafuta maslahi ya utawala wao......
Waafrika wenyewe tukainuka na kushirikiana kumfurusha kwa mabwana zake ,ubaya uko wapi hapo ?!!!!

Ulitaka waafrika wawe wanyonge wakatae mapambano dhidi ya waarabu ?!!! Kwanini ?!!!!

SIEMPRE JMT
 
Unahamisha magoli eee?!!!

Ni kweli tu masikini ukitulinganisha na hao walioendelea.....ila ndio nyumbani kwetu.....hatuwezi kukukataa kwa uhalisia tulionao........

Hatuwezi kukubali waarabu waliotoka bara arabu wayasigine MAPINDUZI yetu matukufu......si lazima mambo yetu matukufu yawe kwao matukufu and vice versa is true.........

MAPINDUZI DAIMA
SIEMPRE JMT

Ndio kitabu hicho ,muingereza alimsaidia Jemshid kueneza uislamu?

Mapinduzi daima kwa Mtanganyika pia ? Kubambikizia kesi Za kigaidi Kwa wapinzani?akina Mbowe
 
Mifumo ya majimbo kwa afrika nzima ni tatizo.

Maana mwafrika akishika uongozi anajiona yeye ndio bora kuliko wengine.

Ubinafsi

Kama hivyo akiona kwenye eneo lake kuna mali ujue chochote anafanya.

Wakati mwingine anatamani abaki yeye nafamalia yake tu, kwahiyo hata wengine wakifa hawezi kujali.

Mifumo ya majimbo inafaa kwa walioelimika na waliokomaa kisiasa.
Sawa kabisa naunga mkono hoja!
 
Back
Top Bottom