Mgogoro wa BAKWATA na Sheikh Ponda, Waislamu tumeshajua nani wa kumfuata

Wale waliokua wanasoma madrasa tu ni hao Akina Alhady
Ukiona muislamu yupo mbali na CCM ujue huyo ni msomi na ukiona yupo CCM ujue ni wale MA mbumbumbu na kwa Sasa sio wengi
Ndio maana tunamuelewa lissu
Wasomi pekee Ndio tunamuelewa Lissu

Usomi wenu ndio wa kupeleka vijana wa maskini kuwarubuni kwa pilau ili kujifunza ugaidi misituni enzi zile kule mkiru, kilindi handeni, au kuweka makambi ya magaidi kwenye mapango ya amboni Tanga. Ndio mnaita usomi na kustarabika kwa kiislamu huko?
 
Usichojua ni kuwa ugaidi duniani umewaumiza Waislamu wenyewe na mataifa ya kislamu kuliko jamii nyengine zote. Waislamu wametengenezewa zimwi linaloitwa Ugaidi na wamelikumbatia liwanalize. Na linawamaliza hasa. Angalia Libya leo, Iraq, Syria, Somalia na kwengineko. Waislami wanamalizana mnyewe kwa mnyewe.

Nyie ambao mnataka kuimbukiza Tanzania Ugaidi mpango wenu wa shetwani binrwajim mmeshashindwa. Lissu na shehe mshadadia uwanaharakati wa ushoga Ponda wameshindwa.
Mtasema yote
Alhamdulillah kwa Sasa waislamu wengi tumeelimika
Kura zetu kwa mtu anaeahidi uhuru
Kura zetu kwa Lissu
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
Libya, Syria. Somalia ni nchi zilizokua zinatawaliwa kidikteta na Familia moja
Gaddafi alifikiri Libya ni nchi yake Sasa hapakaliki hata Familia yake wapo matatani
Kwa nini asingekubali kuachia ngazi?
 
Nauliza hili swali kwa nini hamtaki kutaja tuhuma dhidi ya hao mashehe. Rais JPM kasamehe katika kipindi chaje cha miaka 5 mahabusu na wafungwa kwa maelfu. Tumia hekima na maarifa na uache unafiki kwa nini asingewaachia mashehe kama tuhuma hizo ni za kubambikiziwa? Kwa nini ?
Wewe pia jiulize huyu raisi ana roho gani ambaye anasamehe watu wote isipokuwa masheikh.Na hiyo ni pamoja na mada ya masheikh kusemewa na viongozi wengine wakubwa.Ana kitu gani moyoni kwa masheikh.
 
Toka juzi tarehe 17 Oktoba, 2020 Sheikh Ponda Issa Ponda kutokeza front line na kuwahimiza Waislamu wamchague mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Ndugu Tundu Lissu, kumetokea mkanganyiko hivi.

Baadhi ya watu wanojiita masheikh wakingozwa na Sheikh wa Mkoa wa Der es Salaam kupitia BAKWATA Sheikh Alhad Mussa Salum wakilaani na kupinga kauli ya Sheikh Ponda na kusema kuwa Sheikh Ponda sio mwenzao na wala hawajaafikiana naye.

Mmoja wao alienda mbali na kumuita Sheikh Ponda ni muongo, na mwingine akasema Sheikh Ponda haijui Siasa.

Sasa sisi vijana wa Kiislamu tunasema hivi, marumbano hayo, na mikanganyiko hiyo wala haijatuvuruga. Sisi tunaangalia nani mkweli na nani mpigania haki zetu.

Na hoja zetu kuu ni hizi zifuatazo:
1. Tuna angalia ni nani aliyesimama imara kupigania haqq za Waislamu toka zama za miaka ya 1998.

- Huyo ndio mkweli, toka yalipotokea maujai ya Mwembechai mwaka 1998, Sheikh Ponda alikuwa front-line kusema na kuutetea umma wa Kiislamu uliodhulumiwa.

-Dola ikamuandama, akakimbilia nje ya nchi, baada ya muda kupita alirudi nchini na apokelewa kwao KIGOMA UJIJI, na baadae akaendelea na safari ya harakati za dini ya kiislamu.

- Mwaka 2001 kwenye mauaji ya Pemba ni Sheikh Ponda aloyetoka front-line kipaza sauti na kupiga kelele dhidi ya mauaji hayo ya Waislamu.

- Mwaka 2012 baada ya wanafunzi wa Ndanda wa Kiislamu kufukuzwa shuleni kisa kudai eneo na stahiki zao za kufanya ibada.

Ni Sheikh Ponda aliyesimama kuwatetea wanafunzi hao wa Kiislamu hadi wakarudishwa mashuleni na haqq yao inapatikana.

Matukio yapo meeeengi,

Kutetea haqq za waislamu kama kiwanja cha Chang'ombe, kutetea masheikh walokamatwa nakuwekwa magerezani.

Ni Sheikh Ponda sndio alama za mapigano ya haqq za Waislamu wa nchi hii.

2. Tuna angalia istiqama hata katika kujihusisha na Mambo ya Shubha.

- Sharif Majini ni mganga wa jadi, na mfanya anasa.

- Alhad Musa Salim ni mtu ambaye amekuwa akihusika kwenye Shubha mbalimbali

- Tumemuona akialikwa kwenye matamasha ya sanaa.

- Tumemuona Alhad Mussa Salum akiwasifia binadamu wa kawaida kuliko hata mtume Muhammad.

- na hivi karibuni, Tumemuona akiwa kiongozi wa dini mseto, kitu ambacho ni kufru kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya Kiislamu.

- Tumemuona Alhad Mussa Salum akikufuru kwa kuomba duaa kwa jina la Yesu. Kitu ambacho ni kinyume zaidi na mafundisho ya dini ya Kiislamu.

Kwa Alhad Mussa Salum Hatuwezi kumsikiliza kwa lolote, na hana nafasi kabisa katika umma wetu wa Kiislamu.

Hajawahi kusimama hata siku moja kwa ajili ya maslahi ya Waislamu, siku zote Alhad Mussa Salum yupo kwaajili ya tumbo lake.

Na huyu Sheikh Hilary Kipozeo naye ni wale wale -- masheikh wa dunia; kipenzi cha wana Bongo Flavour; muigizaji wa Bongo Movie.

Maisha yake yoote, amejikita kwenye kuzungumza majimbile ya wanawake na 'mizigo' ya wanawake.

Hajawahi hata siku moja kusimama, kutetea dhulma dhidi ya umma wa Kiislamu. Ameweka Tumbo lake mbele kuliko maslahi ya umma wa Kiislamu.

Na wengine woote hao hatujawahi kuwaona wakikemea dhulma dhid ya umma wa Kiislamu.

Na tuna washangaa hawajawahi kumkosoa Alhad Mussa Salum alipomnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM. Au BAKWATA inavyofanya kumsifia na kumumbia mapambio mwenyekiti wa CCM.

Ila limewauma saaana la Sheikh Ponda kuwahimiza Waislamu wamchague mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA ndugu Tundu Lissu.

Sasa, hao masheikh watambue ukweli kwamba:

Sisi Waislamu wa Tanzania tunamsikiliza na kumkubali zaidi Sheikh Ponda kuliko hata wanavyodhani.

Sisi Waislamu wa Tanzania tunajua madhila na dhulma za serikali ya CCM dhidi ya masheikh na uislam kwa ujumla.

Na kwa hili tuko pamoja na Sheikh Ponda.

Na kwakua amesha tuhimiza tumpigie kura Tundu Lissu, kadi zetu za kupigia kura tumekwsha ziandaa.

Tarehe 28 October kura zetu zoooote tunamwaga kwa Tundu Lissu.

Tunapinga dhulma dhidi ya umma wa Kiislamu.

Tunataka masheikh na ndugu zetu walioko magerezani kwa kesi za kubambikiwa woote waachwe huru.

Tunataka maboresho ya BAKWATA.

Bakwata ilivyo kwa sasa ni chombo cha hujuma dhidi ya waislamu. Wala sio chombo kwa maslahi ya Waislamu.

Na Alhad Mussa Salum na genge lako mutambue wazi kuwa ninyi hamna influence yeyote kwa umma wa Waislamu wa nchi hii.

Mumepewa vyeo tu, na majina makubwa Ila hamna legitimacy yeyote ya kusikilizwa na Waislamu wa nchi hii.

Tuko pamoja na Sheikh Ponda Issa Ponda.

Na tarehe 28 Oktoba tutafanya yale tuloagizwa na Sheikh Ponda Issa Ponda.

Rais mpya
Tanzania mpya
Sisi wakristo tunamuombea Sheikh Ponda Mwenyezi Mungu ambariki sana kwasababu anasimamia kile MUNGU anatutaka tusimamie, "HAKI"
 
Usomi wenu ndio wa kupeleka vijana wa maskini kuwarubuni kwa pilau ili kujifunza ugaidi misituni enzi zile kule mkiru, kilindi handeni, au kuweka makambi ya magaidi kwenye mapango ya amboni Tanga. Ndio mnaita usomi na kustarabika kwa kiislamu huko?
Hahaha 😄😄😄😄
Hizo mbinu za kupuka ubwabwa zinafanywa na CCM
 
Attachments

  • IMG_20201021_113258.jpg
    IMG_20201021_113258.jpg
    50.6 KB · Views: 2
Nauliza hili swali kwa nini hamtaki kutaja tuhuma dhidi ya hao mashehe. Rais JPM kasamehe katika kipindi chaje cha miaka 5 mahabusu na wafungwa kwa maelfu. Tumia hekima na maarifa na uache unafiki kwa nini asingewaachia mashehe kama tuhuma hizo ni za kubambikiziwa? Kwa nini ?
Simple answer ni kwamba Magufuli anachukia waislamu na uislam anafikiria atatumaliza na yeye kushirikiana na gwajima lengo Lao ni kubadilisha misikiti iwe Sunday school
 
Toka juzi tarehe 17 Oktoba, 2020 Sheikh Ponda Issa Ponda kutokeza front line na kuwahimiza Waislamu wamchague mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Ndugu Tundu Lissu, kumetokea mkanganyiko hivi.

Baadhi ya watu wanojiita masheikh wakingozwa na Sheikh wa Mkoa wa Der es Salaam kupitia BAKWATA Sheikh Alhad Mussa Salum wakilaani na kupinga kauli ya Sheikh Ponda na kusema kuwa Sheikh Ponda sio mwenzao na wala hawajaafikiana naye.

Mmoja wao alienda mbali na kumuita Sheikh Ponda ni muongo, na mwingine akasema Sheikh Ponda haijui Siasa.

Sasa sisi vijana wa Kiislamu tunasema hivi, marumbano hayo, na mikanganyiko hiyo wala haijatuvuruga. Sisi tunaangalia nani mkweli na nani mpigania haki zetu.

Na hoja zetu kuu ni hizi zifuatazo:
1. Tuna angalia ni nani aliyesimama imara kupigania haqq za Waislamu toka zama za miaka ya 1998.

- Huyo ndio mkweli, toka yalipotokea maujai ya Mwembechai mwaka 1998, Sheikh Ponda alikuwa front-line kusema na kuutetea umma wa Kiislamu uliodhulumiwa.

-Dola ikamuandama, akakimbilia nje ya nchi, baada ya muda kupita alirudi nchini na apokelewa kwao KIGOMA UJIJI, na baadae akaendelea na safari ya harakati za dini ya kiislamu.

- Mwaka 2001 kwenye mauaji ya Pemba ni Sheikh Ponda aloyetoka front-line kipaza sauti na kupiga kelele dhidi ya mauaji hayo ya Waislamu.

- Mwaka 2012 baada ya wanafunzi wa Ndanda wa Kiislamu kufukuzwa shuleni kisa kudai eneo na stahiki zao za kufanya ibada.

Ni Sheikh Ponda aliyesimama kuwatetea wanafunzi hao wa Kiislamu hadi wakarudishwa mashuleni na haqq yao inapatikana.

Matukio yapo meeeengi,

Kutetea haqq za waislamu kama kiwanja cha Chang'ombe, kutetea masheikh walokamatwa nakuwekwa magerezani.

Ni Sheikh Ponda sndio alama za mapigano ya haqq za Waislamu wa nchi hii.

2. Tuna angalia istiqama hata katika kujihusisha na Mambo ya Shubha.

- Sharif Majini ni mganga wa jadi, na mfanya anasa.

- Alhad Musa Salim ni mtu ambaye amekuwa akihusika kwenye Shubha mbalimbali

- Tumemuona akialikwa kwenye matamasha ya sanaa.

- Tumemuona Alhad Mussa Salum akiwasifia binadamu wa kawaida kuliko hata mtume Muhammad.

- na hivi karibuni, Tumemuona akiwa kiongozi wa dini mseto, kitu ambacho ni kufru kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya Kiislamu.

- Tumemuona Alhad Mussa Salum akikufuru kwa kuomba duaa kwa jina la Yesu. Kitu ambacho ni kinyume zaidi na mafundisho ya dini ya Kiislamu.

Kwa Alhad Mussa Salum Hatuwezi kumsikiliza kwa lolote, na hana nafasi kabisa katika umma wetu wa Kiislamu.

Hajawahi kusimama hata siku moja kwa ajili ya maslahi ya Waislamu, siku zote Alhad Mussa Salum yupo kwaajili ya tumbo lake.

Na huyu Sheikh Hilary Kipozeo naye ni wale wale -- masheikh wa dunia; kipenzi cha wana Bongo Flavour; muigizaji wa Bongo Movie.

Maisha yake yoote, amejikita kwenye kuzungumza majimbile ya wanawake na 'mizigo' ya wanawake.

Hajawahi hata siku moja kusimama, kutetea dhulma dhidi ya umma wa Kiislamu. Ameweka Tumbo lake mbele kuliko maslahi ya umma wa Kiislamu.

Na wengine woote hao hatujawahi kuwaona wakikemea dhulma dhid ya umma wa Kiislamu.

Na tuna washangaa hawajawahi kumkosoa Alhad Mussa Salum alipomnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM. Au BAKWATA inavyofanya kumsifia na kumumbia mapambio mwenyekiti wa CCM.

Ila limewauma saaana la Sheikh Ponda kuwahimiza Waislamu wamchague mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA ndugu Tundu Lissu.

Sasa, hao masheikh watambue ukweli kwamba:

Sisi Waislamu wa Tanzania tunamsikiliza na kumkubali zaidi Sheikh Ponda kuliko hata wanavyodhani.

Sisi Waislamu wa Tanzania tunajua madhila na dhulma za serikali ya CCM dhidi ya masheikh na uislam kwa ujumla.

Na kwa hili tuko pamoja na Sheikh Ponda.

Na kwakua amesha tuhimiza tumpigie kura Tundu Lissu, kadi zetu za kupigia kura tumekwsha ziandaa.

Tarehe 28 October kura zetu zoooote tunamwaga kwa Tundu Lissu.

Tunapinga dhulma dhidi ya umma wa Kiislamu.

Tunataka masheikh na ndugu zetu walioko magerezani kwa kesi za kubambikiwa woote waachwe huru.

Tunataka maboresho ya BAKWATA.

Bakwata ilivyo kwa sasa ni chombo cha hujuma dhidi ya waislamu. Wala sio chombo kwa maslahi ya Waislamu.

Na Alhad Mussa Salum na genge lako mutambue wazi kuwa ninyi hamna influence yeyote kwa umma wa Waislamu wa nchi hii.

Mumepewa vyeo tu, na majina makubwa Ila hamna legitimacy yeyote ya kusikilizwa na Waislamu wa nchi hii.

Tuko pamoja na Sheikh Ponda Issa Ponda.

Na tarehe 28 Oktoba tutafanya yale tuloagizwa na Sheikh Ponda Issa Ponda.

Rais mpya
Tanzania mpya
Mberigiji ameanza kuwalipa na nyie watu wa dini!! Mtashindwa wote na huyo shekh wenu mnafiki na mchonganishi
 
Taasisi ya CCM Bakwata ipo wazi.

Wakristo wanachekaaaaaaa.

Wapagani wanakula maisha yao.

Dini zingine zinacheka hata kuchafukwa pia.

Kiswahili mkombozi wetu.
Sisi wapagani, Mwanahakati wetu alikuwa kingunge, hatujapata mtu mwingine tena.
 
Mberigiji ameanza kuwalipa na nyie watu wa dini!! Mtashindwa wote na huyo shekh wenu mnafiki na mchonganishi
Sisi Ndio waislamu tunawajua wanafiki wapo BAKWATA
Waislamu wa haki tupo na Sheikh Ponda kura kwa Lissu
Waislamu wanafiki wapo na BAKWATA kura zao kwa yule katili Pombe
 
Nauliza hili swali kwa nini hamtaki kutaja tuhuma dhidi ya hao mashehe. Rais JPM kasamehe katika kipindi chaje cha miaka 5 mahabusu na wafungwa kwa maelfu. Tumia hekima na maarifa na uache unafiki kwa nini asingewaachia mashehe kama tuhuma hizo ni za kubambikiziwa? Kwa nini ?
ongezea;

kaachia hadi wale wa Congo waliolawiti watoto wetu wa chekechea tena wa kike na kiume

na kuambukizwa magonjwa ya zinaa
 
Kabla ya kampeni alipelekewa waraka wa Shura za maimamu na Sheikh Ponda
Sheikh wetu akafungwa kwa siku 10
Magufuli ni katili Sana na anachuki na kila mtu anaetaka haki
tatizo alipeleka malalamiko yao muda ambao sio muafaka....kwa nini alipeleka waraka karibu na uchaguzi mkuu?! nia yake sio kujenga bali ilikuwa ni kubomoa, lkn naaamini baaada ya uchaguzi huuu na ukimchagua Magufuli naaamini kero zote zitatatuliwa, na usawa/uwiano ktk kila ldara zitazingatiwa ili watanzania wote wajihisi wana haki sawa ktk taifa lao
 
Shehe Ponda yupo sahihi kwa tamko lake, maana mgombea pekee aliyetoa ahadi zinazowagusa Waislamu ni Lisu pekee.

Lisu ndiye mgombea pekee aliyeahidi kuwaachia huru viongozi wetu wanaoteseka mahabusu bila kufikishwa mahakamani.

Lisu ndiye mgombea aliyetuahidi Katiba mpya ambayo Watu wa Dini zote tutanufaika nayo

Lisu ndiye mgombea pekee aliyetuahidi kutenda haki. Huyu aliye madarakani kwa sasa ameshajipambanua ni mtu mbaguzi wa itikadi za Chama, Mkabila na kubwa zaidi ametunyima haki ya nyongeza ya mishahara ya wafanyakazi wa umma kwa kipindi chote alichokuwa madarakani.
 
tatizo alipeleka malalamiko yao muda ambao sio muafaka....kwa nini alipeleka waraka karibu na uchaguzi mkuu?! nia yake sio kujenga bali ilikuwa ni kubomoa, lkn naaamini baaada ya uchaguzi huuu na ukimchagua Magufuli naaamini kero zote zitatatuliwa, na usawa/uwiano ktk kila ldara zitazingatiwa ili watanzania wote wajihisi wana haki sawa ktk taifa lao
Hakuna muda muafaka wa kupeleka malalamiko na kwa nini afungwe siku kumi
End of the day magufuli si muadilifu na anachuki kubwa na waislamu na Uislamu
Hata pale kinondoni Mfalme wa Morocco alikua anataka kujenga msikiti. Shule na zahanati lakini magufuli akalazimisha pajengwe msikiti tu
 
Mtasema yote
Alhamdulillah kwa Sasa waislamu wengi tumeelimika
Kura zetu kwa mtu anaeahidi uhuru
Kura zetu kwa Lissu
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
Libya, Syria. Somalia ni nchi zilizokua zinatawaliwa kidikteta na Familia moja
Gaddafi alifikiri Libya ni nchi yake Sasa hapakaliki hata Familia yake wapo matatani
Kwa nini asingekubali kuachia ngazi?
Wewe pia jiulize huyu raisi ana roho gani ambaye anasamehe watu wote isipokuwa masheikh.Na hiyo ni pamoja na mada ya masheikh kusemewa na viongozi wengine wakubwa.Ana kitu gani moyoni kwa masheikh.

Hakuna kuchekea anaye chezea tunu ya Amani ya Tanzania. Wamekuwa shamba darasa kwa wengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom