Kipuri, sijawahi kuona mtu mzushi na mwenye majungu kama wewe. Hizi habari unazotuletea zinaonekana wazi kabisa kwamba zimepikwa.
Kama tungekuwa na akili? Great thinkers huwa siyo watu wa kujisifu kama wewe, ndio maana tunasema kwamba habari zako haziaminiki. Kwanza hujatupatia source halafu unafikiri tutayachukua tu mawazo yako kwa kuwa unajidhani kuwa wewe ni great thinker. Kwa taarifa yako wanaokuona na kukusikia ndio walitakiwa watoe comment zao kukuhusu endapo wewe ni great thinker au la. Vinginevyo hata muhalifu akiwa mahakamani atajitetea kwamba yeye ni raia asiye na hatia. lakini ushahidi na mashahidi ndivyo vitakavyothibitisha. Hata na wewe lazima kuwe na ushahidi na mashahidi wa kukuthibitisha kuwa wewe ni great thinker vinginevyo tutayachukulia hayo kama maoni yako tu. Na ndio maana unaone wengine wote hawana akili isipokuwa wewe tu. Eti unasema kama mngekuwa na akili.mkuu, mi ni Great Thinker, sipiki majungu... Kama mngekuwa na akili mngezifanyia kazi habari hizi, na mngepata ukweli
mawazo yako potofu. Hivi wewe hujawahi suguana na nduguyo hata siku moja? Hata mke na mume hutofautiana.
lisemwalo lipo...
Kama tungekuwa na akili? Great thinkers huwa siyo watu wa kujisifu kama wewe, ndio maana tunasema kwamba habari zako haziaminiki. Kwanza hujatupatia source halafu unafikiri tutayachukua tu mawazo yako kwa kuwa unajidhani kuwa wewe ni great thinker. Kwa taarifa yako wanaokuona na kukusikia ndio walitakiwa watoe comment zao kukuhusu endapo wewe ni great thinker au la. Vinginevyo hata muhalifu akiwa mahakamani atajitetea kwamba yeye ni raia asiye na hatia. lakini ushahidi na mashahidi ndivyo vitakavyothibitisha. Hata na wewe lazima kuwe na ushahidi na mashahidi wa kukuthibitisha kuwa wewe ni great thinker vinginevyo tutayachukulia hayo kama maoni yako tu. Na ndio maana unaone wengine wote hawana akili isipokuwa wewe tu. Eti unasema kama mngekuwa na akili.
Gwanda mtashinda Urais 2015? kwa kura zipi?
Badala ya kujadili hoja na mipango yenu ya Chadema mnamjadili Ritz Chadema bana.
mtazamo wako,tunataka tuone wakichinjanaSasa ni dhahiri kuwa kuna mgogoro wa chini kwa chini ndani ya CHADEMA kati ya viongozi wake, ingawa viongozi wake wamekuwa wakifanya kila jitihada kuficha
Tukio la hivi karibuni viongozi wake wamekuwa wakifanya kila njia kuhakikisha suala la Mnyika kumtumia sms za vitisho Mh. Mwigulu Nchemba linamalizwa nje ya vyombo vya usalama, viongozi wamekuwa wakimshutumu sana Mnyika kwa uamuzi alioufanya wa kutuma sms za vitisho kwa Nchemba hali inayokifanya chama kutumia nguvu kubwa kushughulikia suala hilo, pia wamekuwa wakimshutumu kwa uamuzi wake wa kwenda kufanya mkutano huko Singida hadi kusababisha mauaji.
Pia umetokea msuguano kati ya Mbowe na Zitto kutokana na uamuzi wa Zitto kususia kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge pamoja na wabunge wengine wa CHADEMA baada ya kutokea msuguano kati Tundu Lissu na Werema, inasemekana siku hiyo Mbowe ambaye hakuwepo Bungeni alimtumia sms Zitto akimshutumu Zitto kwa uamuzi wake wa kubaki ukumbini wakati wenzake wanatoka nje, hata hivyo inasemekana Zitto alimjibu Mbowe kuwa suala lile lilikuwa kati ya Lissu na Werema hivyo lilikuwa halimhusu yeye,
NOTE: Kama hali iko hivi mapema itakuwaje wakikabidhiwa nchi, si watachinjana hawa
Nawasilisha!!!?
Kauli hiyo hapo kwenye red inanikumbusha kauli za makada wa chama cha mapinduzi. Ama kweli matusi mmeyazoea. Hata hivyo itatia shaka sana kama hakuna yeyote anayekutambua wala kukupenda, hata kama utaamua kujifanyia mambo hayo mwenyewe. Siyo hali ya kawaida kutopendwa wala kutambuliwa na mtu walau mmoja. Ni lazima kutakuwa na tatizo ni bora ujitathmini.bila shaka we ni chizi, usipojitamnua nani atakutambua, usipojipenda nani atakupenda