Mgogoro ndani ya CHADEMA!?



100 likes
 
Last edited by a moderator:

Chanzo??
Lakini napenda kusema hivi migogoro ni afya kwa chama maana lazima kuwe na kutofautiana kimawazo chama si kanisa au msikiti.ninachotaka kukwambia wewe na wenzako wenye akili kama zako za kushikilia hakuna mgogoro wa haina hiyo chadema na hautakaa utokee,chadema si kama ccm mtu akiwa na mawazo tofauti mnamtengenezea zengwe mumtoe
 


kipindi kile Zitto katoswa kugombea uenyekiti haukuwa mgogoro, au Chacha Wangwe na Mbowe haukuwa mgogoro?
 
Kwa matusi aliyotoa werema aliitukana Kambi ya Upinzani.Lissu haulizi maswali kama baba wa faau kaka.anauliza kama mbunge kutoka CHADEMA/Upinzani na pia ana role yake kama Chief whip

Mtu yeyote decent hawezi kukaa kwenye Bunge ambalo Mwanasheria mkuu wa serikali ametumia vulgar dhidi ya chief whip na kambi ya Upinzani.Wabunge wa upinzani wanastahili kujifunza diplomatic walk out na kujua ni wakati gawa kutoka na wakati gani wa kubaki.Walk out si utovu wa nidhamu kama baadhi ya mbeuzi(cynics) wanavyoamini/wanavyoaminisha watu........
 

Well said B.saa8
 
CCM wakiboresha maisha ya waZT watakuwa wamewashika pabaya wapinzani..........I mean a day usemi wa maisha bora kwa kila mTZ ukitimia wapinzani watakuwa hoi.......
 



unapoteza muda bibi yako kajifunguwa nenda ukamsaidie kunyonyesha mkandu wewe
 
Kipuri, sijawahi kuona mtu mzushi na mwenye majungu kama wewe. Hizi habari unazotuletea zinaonekana wazi kabisa kwamba zimepikwa.
 
CHADEMA hakuna mgogoro, magamba mtahangaika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…