So far kuusema ukweli, TBC ndio the best TV Station in Tanzania kwa vifaa,
manpower na majengo, kinachohitajika ni Mshana ku open up a bit kuruhusu outside productions ku boost up their limited creativity!.
Ila pia whoever aliyeleta hii kitu humu jf, huyo hafai kabisa kuendelea kuwa mtumishi wa umma!. Mambo kama haya yalipaswa kuwa siri za ndani za serikali!.
Mimi nimefanya kazi TBC na kuna mengi ya hovyo na ya ajabu nimeyashuhudia lakini hakuna hata siku moja nimewahi kusema humu TBC hivi au TBC vile!. Hawa watakuwa ni hawa vijana wapya walio ajiriwa juzi juzi wasio na uvumilivu wa kiserikali wanataka kutuaibishia shirika letu!.
Hawa ni wa kutafutwa na kuadabishwa!.
Pasco.
afu wanakera kweri kweri...why hawaajili mashori wakali aisee?
UMEKOSEA Pasco sifa ya kwanza kwa mtumishi wa umma ni kuwanyenyekea wanasiasa na kuficha maovu yao!Sifa kuu ya kwanza kwa mtumishi wa umma ni kutunza siri za serikali!.
Whoever aliyezitoa taarifa hizo nje, amekiuka masharti yake ya ajira na akipatikana ni summary dismissal!.
Pasco.
So far kuusema ukweli, TBC ndio the best TV Station in Tanzania kwa vifaa,
manpower na majengo, kinachohitajika ni Mshana ku open up a bit kuruhusu outside productions ku boost up their limited creativity!.
Ila pia whoever aliyeleta hii kitu humu jf, huyo hafai kabisa kuendelea kuwa mtumishi wa umma!. Mambo kama haya yalipaswa kuwa siri za ndani za serikali!.
Mimi nimefanya kazi TBC na kuna mengi ya hovyo na ya ajabu nimeyashuhudia lakini hakuna hata siku moja nimewahi kusema humu TBC hivi au TBC vile!. Hawa watakuwa ni hawa vijana wapya walio ajiriwa juzi juzi wasio na uvumilivu wa kiserikali wanataka kutuaibishia shirika letu!.
Hawa ni wa kutafutwa na kuadabishwa!.
Pasco.
Viva Tido Mhando; Tutakukumbuka sana kwa umahiri wako katika tasnia ya habari!! CCM walitumbukiza lulu chooni!!
Hawana tofauti na TTCL na TANESCO
With time mtakosa ata matangazo ya kibiashara yanayowatia kiburi
Mkuu TangaTanu, the best ni relative according to vigezo, niliposema TBC is the best niliweka vyangu, na wewe unaposema ITV ndio TV best kwa vigezo vyako you are also right vijana nao wataibuka kuwa Clouds ndio TV best na wataweka vigezo vyao.Mkuu Pasco kwa mtanzania wa kawaida atakwambia ITV ndio The best TV station kwa sababu ya
1/Big Coverage
2/Persistance
3/A bit balance news.
4/Kujaribu kuwapa kile watu wanachokitaka.
But kwa sababu zako ni kweli TBC ilifikia Ubora huo lakini kwa sababu wanarudi nyuma
kwa kasi kubwa.
*Japokuwa madai hayo sio siri kwa watumishi wa tbc Mtonyaji wa habari hii sio kijana wa juzi ni mtu mzima aliyefikia umri wa kustaafu, imebidi afikie kusema haya kwa sababu hataki kuwa kama wale wazee wa jumuiya ya East Africa iliyovunjika, anataka apate haki zake sasa na sio akishaacha kazi au kufa.
kote huko sema africa......Hivi yakitajwa mashirika ya habari Ulimwenguni eti TBC nao huwa wanajitokeza...phweeeee!!!
kote huko sema africa......
ndo kweli huo mwenyewe si unaona inavyozidi kudidimia......Hahahah....naona unazidi kuididimiza zaidi
Ndivyo hivyo wanavyomwita hata walinzi kwenye mageti ya kuingia na kutoka TBC utawasikia wakisema mara tu waonapo gari yake inakuja.Mkurugenzi mkuu amepewa jina la BOYA, duuuuu, hii noma.
So far kuusema ukweli, TBC ndio the best TV Station in Tanzania kwa vifaa,
manpower na majengo, kinachohitajika ni Mshana ku open up a bit kuruhusu outside productions ku boost up their limited creativity!.
Ila pia whoever aliyeleta hii kitu humu jf, huyo hafai kabisa kuendelea kuwa mtumishi wa umma!. Mambo kama haya yalipaswa kuwa siri za ndani za serikali!.
Mimi nimefanya kazi TBC na kuna mengi ya hovyo na ya ajabu nimeyashuhudia lakini hakuna hata siku moja nimewahi kusema humu TBC hivi au TBC vile!. Hawa watakuwa ni hawa vijana wapya walio ajiriwa juzi juzi wasio na uvumilivu wa kiserikali wanataka kutuaibishia shirika letu!.
Hawa ni wa kutafutwa na kuadabishwa!.
Pasco.
Ndivyo hivyo wanavyomwita hata walinzi kwenye mageti ya kuingia na kutoka TBC utawasikia wakisema mara tu waonapo gari yake inakuja.
Kisa tu, ni kwamba
1/Wanamwona kama mtu asiyestahili kuwa mkurugenzi wao!!
2/Anatumika tu kama kondom na waliomuweka pale!!
3/Hajui kabisa anakoipeleka TBC!!
4/Ni mwoga, mbishi na mwenye misimamo ya ajabu ajabu sana.