Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
Lo!!! Hii Picha ya nini sasa, au ndio inaelezea namna CCM walivyoshikamana na wanasivyo na migogoro??
Hayo ndiyo majibu mzee!
Lo!!! Hii Picha ya nini sasa, au ndio inaelezea namna CCM walivyoshikamana na wanasivyo na migogoro??
CHADEMA Arusha,hakuna mgogoro,chama kipo IMARA,kuliko kipindi kingine chochote,
Jamii ielewe kuwa CHADEMA haina mgogoro,unataka jibu gani zaidi ya hilo?sijibu unavyotaka wewe najibu ukweli,na ukweli ni kuwa hakuna mgogoro.
Jamii ielewe kuwa CHADEMA haina mgogoro,unataka jibu gani zaidi ya hilo?sijibu unavyotaka wewe najibu ukweli,na ukweli ni kuwa hakuna mgogoro.
Efatha Nanyaro ni mnafiki sana viongozi wa aina hii ni hatari sana..
Kwenye magazeti ya leo amekiri mgogoro huo upo na kasema wote ambao hawakuridhika na uamuzi huo wakate rufaa ndani ya siku 42..
Saizi hizi humu JF anakanusha cha kushangaza zaidi Chadema-Kata wanamfia eti kajibu vizuri.

Day-Pay workers @Deiwaka.com!kwa hadhi yako hayo hayo ni majibu ya kihuni.toa ufafanuzi wa kilichotokea ili jamii iseme.wewe unaanza kujitetea.
Mimi ni mkazi wa hapa Elereai na nimeshuhudia kufukuzwa kwa viongozi hawa, penye ukweli muwe mnakubali bana!
Ritz hatuna utaratibu wa kukata rufaa ndani ya 42days,na sijaongea na gazeti lolote,huo ni upotoshwahi unaofanywa kwa lengo la wanaofanya.Nasisitiza CHADEMA hakuna mgogoro
shibuda naye atafukuzwa lini sasa?
kwa nini cdm inataka kujiimarisha katika fukuza fukuza ya wanachama na viongozi wake?????????????
chama kinajengwa kwa kuvumiliana ankukosoana sasa huu umwamba unatoka wapi??????????????
Ritz,wewe si upo kazini kuichafua CHADEMA?huwezi kushindana na ukweli ukashinda,
Sio tu nilikuwa mwenyekiti hadi sasa mimi ndio Mwenyekiti,na chama hakina mgogoro,period.
Posho zinapasua vifungo!!Kichenchede!!!
Wewe ni mateka wa Mbowe sikushangai, sasa apo umakini wake upo wapi?
Hata mbuyu ulianza kama mchicha.
msipoziba ufa ...
Lisemwalo lipo na kama halipo ...
hivi kufukuzana na kulea waovu lipi bora? mnalea chenge,lowasa,jairo na wengineo kibao kisa mnaogopana. kwa upinzani hakuna kuleana ni timua timua tu ukienda kinyume na chama hawalei pimbi
Efatha Nanyaro ni mnafiki sana viongozi wa aina hii ni hatari sana..
Kwenye magazeti ya leo amekiri mgogoro huo upo na kasema wote ambao hawakuridhika na uamuzi huo wakate rufaa ndani ya siku 42..
Saizi hizi humu JF anakanusha cha kushangaza zaidi Chadema-Kata wanamfia eti kajibu vizuri.
Cdm wana utaratibu wa kutoa taarifa si sawa na magamba ridhika na majibu ya kamanda Nanyaro wa brigedia ya Arusha ukitaka maelezo ya kina mwone msemaji wa chama kwanza si sifa ya makamanda kusema hovyo bali wapo kiutendaji zaidiTunashukuru umewahi kukanusha hapa (nadhani ulikuwa aware na suala hili kufika hapa janvini). Lakini maelezo yako hayatosherezi na kwa ujumla hayaridhishi. Mleta thread Ritz amejitahidi kuelezea kwa kina na wahusika (taarifa yake inashawishi), lakini statement yako "short" & "not clear" na jinsi ulivyowahi humu kuipinga inaleta mashaka.
Nanyaro ebu tueleze ukweli juu ya hicho kikao na yaliyojiri ata kama mmeweza kuyamaliza, maake kikomo cha mgogoro ni kumalizika kwake lakini haiondoi ama kufuta tukio (mgogoro).