OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,336
Inaelekea unayajua vizuriMapigo ya Lipumba ni machache lakin yenye kishindo kweli kweli
Inaelekea unayajua vizuriMapigo ya Lipumba ni machache lakin yenye kishindo kweli kweli
Hatuhami kwenye mjadala wa vyeti, Ni lazima mungu wa Darisalamu atambuwe kuna Mungu aliye hai na hawezi kusimama na majitu ya hovyo kama Makonda. Kwisha habari, kibri na majivuno vimefikia tamati.
na hizo pesa anazotafuna lipumba bila kumshirikisha katibu seif inakuwajeeeKesi iliopo Mahakamani haihusu Seif kuwa Mtoro kazini
Kuongoza kataasisi kama CUF wanatoana jasho vp wakipewa magogoniKuwa mpinzani tanzani inabidi kujitoa ufahamu sana,sijawahi kusikia ccm wanafanya utoto wa namna hii.na ndio maana tunaambiwa sisi bado ni wachanga sana kupewa nchi
Kwa sababu wewe ni division zero kama Makonda kamwe huwezi kujuwa kuna mungu na kuna Mungu.Kwa Mujibu wa Uislam ni haramu kwa namna yoyote hata utani kumwita Mtu au Kiumbe chochote Mungu!
Kila mtu anakula alikopeleka mbogaNaona Unaibu Kampa De..... Wake
Hapo ni Kujipigia tu Mzigo Kiulaini Mubashara.
Ungejifikiria na kutafakari ungegundua kwamba wewe ndio unatania.Maalim akae pwmbeni sababu ya huyu mpuuzi?
Nadhani unatania au?
Ila si kuhakikisha Madawa ya kulevya yanatokomezwa nchini...! mnanistaajabisha sana.Hatutatoka kwenye reli hadi Makonda ajiuzulu. Msitutoe tafaazali
Nani mtoro makao makuu ya cuf si yapo mtendeni Zanzibar au nimekosea?Kesi iliopo Mahakamani haihusu Seif kuwa Mtoro kazini