Mgogoro CUF: Prof. Lipumba amsimamisha kazi Maalim Seif, amteua Magdalena Sakaya kukaimu

Hatuhami kwenye mjadala wa vyeti, Ni lazima mungu wa Darisalamu atambuwe kuna Mungu aliye hai na hawezi kusimama na majitu ya hovyo kama Makonda. Kwisha habari, kibri na majivuno vimefikia tamati.

Kwa Mujibu wa Uislam ni haramu kwa namna yoyote hata utani kumwita Mtu au Kiumbe chochote Mungu!
 
Isije ikawa prof naye kaiba vyeti anaitwa Vincent maana mjinga mjinga mbona anazidiwa skill hata na Zito Kabwe katoka chadema kaanzisha Chama chake Kma anaogopa kaanzisha chama chake basi si aende kwa kwa Rungwe wakaboreshe chauma.huyu prof achunguzwe lazima takuwa vyeti akanunua.
 
Kwa Mujibu wa Uislam ni haramu kwa namna yoyote hata utani kumwita Mtu au Kiumbe chochote Mungu!
Kwa sababu wewe ni division zero kama Makonda kamwe huwezi kujuwa kuna mungu na kuna Mungu.

Mbumbumbu kabisa wewe, mtaishia kufoji vyeti lakini hamuwezi kufoji akili kamwe.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mwalimu seif, wakurugenzi wote kutoka Zanzibar, wabunge wote wanaopinga yanayofanywa na Le profeseri, madiwani na wanachama wanaona Leprofesa hafai, kwa umoja wenu ondokeni CUF; jiungeni CHADEMA ili muwe na nguvu kubwa ya kumgaragaza huyo pro.
 
Mkapa hakukosea alipomwita Prof. Uchwara.

Njaa insmuhangaisha saaana.

Huyu anadai ana uwezo wa kufanya kazi popote duniani

Mbona povu linamtoka kwa Uenyekiti tu.
 
[HASHTAG]#Habari[/HASHTAG]. Menyekiti wa CUF amsimamisha Katibu wake Maalim Seif

"Nimefikia Uamuzi wa Kumsimamisha Maalim Seif baada ya Kukaidi wito Wangu kama M/Kiti wake Kuja Ofisi Kuu Buguruni zaidi ya Mara 4"

Nimemteua Mh Magdalena Sakaya kukaimu Nafasi ya Katibu Mkuu Taifa wa C.U.F, Nafasi hiyo awali ilikua inashikiliwa na Maalim Seif"

#Professa_Lipumba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom