RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,762
Zitto ni Mrema mpya .... Mtiifu kwa CCM ...
Atampinduaje mtu asiye na cheo?
Prof Kitila si mshauri tu au?
Au tatizo karuzuku kamekuwa kadogo kinyume na matarajio kwa hiyo Prof anatishia kumega the Lion share ya Supreme leader?
Miezi minne tayari! Jamaa ka ACT kwenda kusoma.Yametia, haaaa