Mgogoro ACT - Wazalendo: Zitto kumpindua Mwigamba?

Mgogoro ACT - Wazalendo: Zitto kumpindua Mwigamba?

nasikia wanataka kumkata mama kwa sababu mama ameipiga vita ccm kwenye kampeni zake na ukumbuke sio makubaliano ya kiongozi mkuu na ccm mama alitakiwa aipige vita chadema kama wafanyavyo wengine sasa ccm wametishia kukata mrija kama hawatamwondoa mama kiongozi mkuu anahaha kufanya jitihada za kunusuru mrija usikatwe kumbuka hiyo nafasi ya mwenyekiti alitakiwa apewe machange wao wakampa mama wakati mama msimamo wake haueleweki
 
ACT inazidi kukua.....mengine ni porojo

Lazima tuwe wakweli, uwekezaji uliofanyika wa ACT, ni mkubwa mno kulinganiaha na walicho kivuna. Uzinduzi wa hiki chama ulifanyika almost nchi nzima tena kwa gharama kubwa ili hali tukiona hakuna upinzani wowote walioupata from vyombo vya dola kama police. Value for money hapa haija apply kabisa. Kusifia kama chama kinakua ukweli utakua sio huo, nguvu iliotumika na mavuno yaliopatikana they are not propositional kabisa.
 
Habari za lowasa haziuzi gazeti sasa umehamia kwa Zitto.
Kubenea at work!
 
Atampinduaje mtu asiye na cheo?
Prof Kitila si mshauri tu au?
Au tatizo karuzuku kamekuwa kadogo kinyume na matarajio kwa hiyo Prof anatishia kumega the Lion share ya Supreme leader?
1.Prof. Kitila Mkumbo
2.Samson Migamba
 
Ulimuandika EL na sakata la Richmond, akakupiga na tindikali. Baada ukaramba matapishi yako ukawaunampigia debe.
Mawio limepoteza soko, ni gazeti la udaku
 
Taarifa haijitoshelezi!! Anataka kumpindua nini? Na tangu lini gazeti la Mawio ikaandika habari njema za Zitto? Kubenea acha siasa chafu, tumekupa ubunge ufanye kazi--punguza majungu na usianze kushambulia watu makini. Pambana na CCM na sio Zitto

Ulimpa Ubunge wewe?
 
Ulimuandika EL na sakata la Richmond, akakupiga na tindikali. Baada ukaramba matapishi yako ukawaunampigia debe.
Mawio limepoteza soko, ni gazeti la udaku
 
Mawiio?kubenua?hapo unategemea taarifa gani kama si udaku??
 
Taarifa haijitoshelezi!! Anataka kumpindua nini? Na tangu lini gazeti la Mawio ikaandika habari njema za Zitto? Kubenea acha siasa chafu, tumekupa ubunge ufanye kazi--punguza majungu na usianze kushambulia watu makini. Pambana na CCM na sio Zitto
ccm and zitto can be used interchangeably
 
Hivi mzee wa kura buku tatu......Pale kibaha yuko wap...???
 
Back
Top Bottom