Mgogoro ACT - Wazalendo: Zitto kumpindua Mwigamba?

Mgogoro ACT - Wazalendo: Zitto kumpindua Mwigamba?

CgjbhLPUUAAI3yA.jpg

Mbona wamesema anaenda kusoma au ni zuga?
zuga tuu hiyo
 
Mwigamba amekwisha sanda,leo ameandika barua ya kuachia ngazi eti anaenda kusoma nairobi
 
Kuondoka kwa Samson Mwigamba katika nafasi ya ukatibu mkuu kuna maana kubwa sana. Hawa ni wale ambao Zitto aliwadanganya kwamba wabunge wengi wa upinzani na CCM wangemfuata baada ya kuanzisha chama chake, aliwaaminisha kwamba Chadema ingekufa baada ya yeye kuondoka hivyo wakamuamini na wakamfuata. Bahati mbaya sana mambo yakawa tofauti, nafasi ya katibu mkuu ikageuka kuwa ya kujitolea pasipo malipo yoyote, uzalendo umemshinda Mwigamba wa kuishi kwa kusubiri hisani ya Zitto huku familia inamtegemea.
Wapi alipo Habib Mchange leo hii kisiasa? Asingedanganywa na Zitto huenda leo ndio angekuwa mbunge kibaha mjini. Lakini leo anatembelea ubavuni mwa CCM apate hisani ya uteuzi bahati Mbaya Zitto alisababisha asimalize hata shule. Wapi alipo Licapo Bakari? Yuko wapi Philipo Mwakibinga ambaye alikuwa na ushawishi kiasi cha chama kikajitolea kumsaidia akaja kurubuniwa na Zitto. Yuko wapi Grayson Nyakarungu kijana aliyevuma na washa taa mchana? Yuko wapi Moses Machali? Yuko wapi Mtella Mwampamba? Kitilla Mkumbo huenda leo angekuwa mbunge wa Iramba, lakini na uprofessa wake alirubuniwa akaingia mkenge sasa hivi kazi za chama anafanyia mtandaoni tu huku akiendelea na kazi nyingine za kitaaluma. Poleni sana wote ambao mlihadaika mkauuza utu wenu sababu ya kuwa wafuasi wa Yudah.
 
Kwani hao zitto aliwatoa wakiwa wame achieve nini uko walikokuwa!!? Mi naona hapo una mrushia zigo tuu jamaa
 
Maandiko matakatifu yameandika hivi , AMELAANIWA YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU , hiki ndicho kinachowatafuna hawa jamaa , hivi mtu na elimu yako unaweza kukubali kuhongwa laki 2 kwa M-PESA ?
 
Kuondoka kwa Samson Mwigamba katika nafasi ya ukatibu mkuu kuna maana kubwa sana. Hawa ni wale ambao Zitto aliwadanganya kwamba wabunge wengi wa upinzani na CCM wangemfuata baada ya kuanzisha chama chake, aliwaaminisha kwamba Chadema ingekufa baada ya yeye kuondoka hivyo wakamuamini na wakamfuata. Bahati mbaya sana mambo yakawa tofauti, nafasi ya katibu mkuu ikageuka kuwa ya kujitolea pasipo malipo yoyote, uzalendo umemshinda Mwigamba wa kuishi kwa kusubiri hisani ya Zitto huku familia inamtegemea.
Wapi alipo Habib Mchange leo hii kisiasa? Asingedanganywa na Zitto huenda leo ndio angekuwa mbunge kibaha mjini. Lakini leo anatembelea ubavuni mwanaidi CCM apate hisani ya uteuzi bahati Mbaya Zitto alisababisha asimalize hata shule. Yuko wapi Philipo Mwakibinga ambaye alikuwa na ushawishi kiasi cha chama kikajitolea kumsaidia akaja kurubuniwa na Zitto. Yuko wapi Grayson Nyakarungu kijana aliyevuma na washa taa mchana? Yuko wapi Moses Machali? Yuko wapi Mtella Mwampamba? Kitilla Mkumbo huenda leo angekuwa mbunge wa Iramba, lakini na uprofessa wake alirubuniwa akaingia mkenge sasa hivi kazi za chama anafanyia mtandaoni tu huku akiendelea na kazi nyingine za kitaaluma. Poleni sana wote ambao mlihadaika mkauuza utu wenu sababu ya kuwa wafuasi wa Yudah.
M nadhani ana plan yake mwenyewe
 
Gazeti la Mawio la leo tarehe 12/11/2015 limeripoti kuwa kuna sintofahamu kubwa ndani ya chama cha ACT-wazalendo...inaelezwa kuwa Zitto anataka kumpindua Samsoni Mwigamba.

Uchunguzi unaonyesha kuwa mapinduzi hayo, katika uongozi yanapaswa kukamilika ndani ya miezi minne kutoka sasa.

attachment.php

Mawio lifunguliwe .
 
Hata ivo chadema ipo hoi muda si mrefu tutabaki na ACT tu...
 
Hiki ni kituko cha watu kanyang'anyana fimbo ya kumpiga nyoka hadi akatokomea.Ndicho nakiona kwa CDM na ACT-Wazalendo
 
Hata ivo chadema ipo hoi muda si mrefu tutabaki na ACT tu...
labda jaribu kuua ccm, chadema ni chama cha siasa kilicho komaa . act chama cha mfukoni, sasa mwenye chama kaondoka na chama kimelala. haaa
 
Mtela Mwampamba hajapata uteuzi wowote huko aliko??
 
ACT wazalendo itabaki kuwa Imara, Mwigamba akimaliza masomo atarudi kukitumikia chama.
 
Back
Top Bottom