Siku ringa jamani Laaziz wangu lol,sikuona tu hilo swali si unajua mimi ni mvivu wa kutembelea thread zote zinazokuwa ndefu,Lakini hata hapa nikikujibu kuna ubaya?Ila naogopa wataniona labda tuzime taa.
ndio nimesoma jana nikakuuliza jina la huyo mtu ..
ukaringa kuniambia haya bwana...