giannasika
New Member
- Aug 22, 2012
- 2
- 1
Karibu.
Ar He or She?
Maana jina la Kilugha hlo.
Shem, huyu atakua she bhanaa, we huoni hata mwandiko huo
Shem,
Nyie ndo wale dizaini ya kumvua nguo mwanamke kupitia taswira ya Ubongo.
Duuh...
mara nyingi kwenye chatting, wanawake yena walio na umri wa kati na caring huanza maongezi na neno "jamani".
yaan mbona hata wewe nishakuvua na kukuchorea picha kibao ubongoni...
Shem nakushtaki umenibaka kitaswira.
Na wale Mababa wa kileo huanzaje?
"Yoyooo" au "Hey...whatsup"
we unadhani kuna mtu atakusikiza, atajua michezo ya ki-SHEMEJI
heheh siye hutumia lugha ya command kidizaini
Manjonjo unayo weye miye mshirikishwaji 2! Vp weekend imekaaje?
Jamani am new here sijui hata how this thing is working cansomeone help1
Weekend ipo ipo tu.
Me niko Tanga huku.
Nikuletee nini?
Weekend ipo ipo tu.
Me niko Tanga huku.
Nikuletee nini?
Weekend ipo ipo tu.
Me niko Tanga huku.
Nikuletee nini?