Mgeni

FREIGHTLINK

Member
Apr 11, 2016
19
7
Habari members wa JF. Mimi ni mwanachama mpya.

Nimekuwa nanufaika na michango, mawazo, na habari nyingi ndani ya JF, kwa miaka mingi sasa.

Natoa hongera kwa wanachama wote na hasa kwa Founder kwa kazi nzuri.

Naomba msamaha kama kuna chochote nimekosea kwani hii ni mara yangu ya kwanza kuandika kwenye JF
 
Hujakosea kitu mgeni! karibu sana na utafaidika zaidi ukiwa member kamili. Utaweza kutoa michango yako, utauliza na utajibiwa! Humu kuna watu wa kila aina.
 
karibu mgeni, huku masihara mengi, hata ukikaribishwa chakula, huwa ni masihara!
 
Mgenii
Na mimi nikiri nisiku yangu ya kwanza kupitia jukwaa hili tokea nijiunge jf..

Karibu sana mgenii..
Jukwa la siasa na mambo ya wakubwa pia tunakukaribisha
 
Habari members wa JF. Mimi ni mwanachama mpya.

Nimekuwa nanufaika na michango, mawazo, na habari nyingi ndani ya JF, kwa miaka mingi sasa.

Natoa hongera kwa wanachama wote na hasa kwa Founder kwa kazi nzuri.

Naomba msamaha kama kuna chochote nimekosea kwani hii ni mara yangu ya kwanza kuandika kwenye JF
karibu

zingatia na kufwata 'sharia' za jamii forum laa si hivyo ..... jela itanuhusu aka ban
 
Habari members wa JF. Mimi ni mwanachama mpya.

Nimekuwa nanufaika na michango, mawazo, na habari nyingi ndani ya JF, kwa miaka mingi sasa.

Natoa hongera kwa wanachama wote na hasa kwa Founder kwa kazi nzuri.

Naomba msamaha kama kuna chochote nimekosea kwani hii ni mara yangu ya kwanza kuandika kwenye JF

Maadam umeomba msamaha umesamehewa (nanufaika=nikinufaika), unajitahidi kuandika vizuri.
 
Habari members wa JF. Mimi ni mwanachama mpya.

Nimekuwa nanufaika na michango, mawazo, na habari nyingi ndani ya JF, kwa miaka mingi sasa.

Natoa hongera kwa wanachama wote na hasa kwa Founder kwa kazi nzuri.

Naomba msamaha kama kuna chochote nimekosea kwani hii ni mara yangu ya kwanza kuandika kwenye JF

Karibu JF
 
Back
Top Bottom