Zee la michongo
Senior Member
- Apr 2, 2025
- 129
- 308
Habari wakuu
Mimi ni mgeni nahitaji support yenu na ushirikiano wenu
Ova
Mimi ni mgeni nahitaji support yenu na ushirikiano wenu
Ova
Ahasante sana nimekaribia mkuuKaribu sana JF
Mgeni apewe chaiKaribu sana JF
Hapana namantain my anonymity na OPSECTuma picha zako tano
aje na kitafunwa tu chai zipo nyingi humu!Mgeni apewe chai
Aambatanishe na namba yake ya nidaTuma picha zako tano
Hapana mkuuAambatanishe na namba yake ya nida
Shukran barikiwa sanaaje na kitafunwa tu chai zipo nyingi humu!
Apewe Togwa😁aje na kitafunwa tu chai zipo nyingi humu!
Nimekuja na michongo kama ilivyo idZee la michongo umekuja na michongo kweli???au tukutafutie siti jukwaa la mapenzi
Tumuulize mapema kabisaZee la michongo umekuja na michongo kweli???au tukutafutie siti jukwaa la mapenzi
contask mwamba kaja na michongo hajaja kuleta matatizo yake ya ndoaNimekuja na michongo kama ilivyo id
Akileta mambo hayo SI Bora tuwahi kumuuzia uexpert member kabisa😁Mambo yanaonekana yamebadirika mkuu😁
Niliamini ataleta matatizo ya ndoa au magonjwa ya sehemu za siri😁
Sahihi mkuu😁Akileta mambo hayo SI Bora tuwahi kumuuzia uexpert member kabisa😁