kahama one
Member
- Jan 14, 2017
- 53
- 37
- Thread starter
- #21
Palichimbika jamaa alimtimua usiku huohuo mgeni wake,we mwanaume mwenzio avae kondom tena mmelala kitanda kimoja unadhan usingingiz utakuja?Huyo jamaa anaotaga ndoto zile za kupiga miti hakutaka kuchafua mashuka ya watu isijeleta taabu na masale shuka linatumika wiki bila kubadilisha!