Mgeni ila mwenyeji

Mgeni ila mwenyeji

Donati ya njano na sifa ya donati ina kitobo kati,
Na wewe ni dume unajipa sifa ya donati, ndio kusema maisha yamekua magumu sanaaa kama ndio basi sio kwa JF bora nikupe chimbo wanalipa pesa nzuri kwa Donati.
1688934864207.png

😂
 
Dume hilo. Kama unatarajia pisi kali utaishia kutana na kama huyo wa kwenye picha.

View attachment 2683458
Nimeshashtuka na nimem ignore tiyari soma huu uzi 👇👇👇👇

 
Nimeshashtuka na nimem ignore tiyari soma huu uzi 👇👇👇👇

Ungekutana na uso uliokomaa kwa kupigwa wembe daily😂😂😂😂
Linakubania sauti kukuita bebi
1688935410519.png
 
Fanya mambo fasta kesho mechi saa sita mchana inapaswa kuanza
Nimepita asubuhi nikasahau kuangalia jina ila ni pale ukiwa umetoka mliman city kona ya kwenda sinza opposite na sheli kuna wanaofyatua vile vi perving 😀😀😀😀then kuna maget kama sita yameongozana

Bwana acha ngono kafanye kazi😀
 
Back
Top Bottom