47pro
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 1,204
- 332
Wasee wa base, niaje Niaje? Kabla niendelee salimia sana madha.
Leo nilikaa juu ni Sato, hakuna job na by the mimi ni SDA church member, after church nikiona si kitu mbaya kupitia VCT juu kuna rough niliendea round za dush Ile 14th February.
Nikapata doctee kwa hiyo hosy, nikamshoo vile niko in front of him for blood examination. After little talks zenye ni Za jokes he sipped his last drop of coffee enye alikua akikunywa ndo akanisongesha kwa lab, akanishoo nisiogope Ile injection ili achukue blood sample. Nikajibu Sawa muheshimiwa.
After hiyo he took blood sample, akanishoo ni tulize kipago, na mimi Bila tabu nikakalisha makende kwa bench reading some medical magazines zenye zilikua tu kwa meza. After little bit waiting while I was almost waste on sleep, trying to imagine the blood examination results.
Ule doctee akaniita "we gijana kuja kwa room" nikasimama shaking like someone drawn to extreme cold weather abruptly. Nikaingia kwa room ya doctee, akanipea karatasi ya blood exam results, sahiyo imeandikwa vitu me hata nashindwa jua ni nini but at last kwa hiyo ma-writing zake nikaona kitu inakaa R. I. P, although siyo venye nimeandika hapa.
Pia akatitembezea bahasha kubwa, Lakin haezi si kama Ile bahasha ya Ocampo. The envelope was little bit heavy... Anyway sikuuliza kitu, akanishoo kwa kingoso "go back home open the envelope and you will get the pure results of what you came for" then akanishoo your ready to go. Mzito nika farewell doctor then me huyoooooooo kejani, kufika kwa keja nika open hiyo bahasha,...... Jesus of Nazareth.
Kwa hiyo bahasha kulikaa Bible,picha za green vegetables na one of them ni sukuma, mapicha za fruits zile hupatikania kenya, na zingine niliona kule Tz wakati niko Campo ya udsm.
Sasa wasee Hebu mnishoo what hell is this? Juu niko kejani sijui hata vile kunaenda.