Msaada kiasi

47pro

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
1,204
332
Wasee kwanza niaje Niaje? Hope huko mliko bado mnakazana. Kabla niendelee salimia sana mabesthe zenu huko kenye mko.

Niko na shida na huyu mgeni. Ni week Sasa tangu huyu besthe yangu wa high school. Ni kama bradha juu we grow up in Karagita kipande ya nakuru. Last Sato alipay visit kwa hao yangu huku Nairobi, na alisema atastay for three weeks.

Siku ya kwanza, nilikaribisha, msee nikaosha keja juu sipendi aibu, nikazama account dish ni kuku Joo!! Na alinishoo yeye hakulangi sukuma wiki juu humfanya tumbo inauma. Nikaona siyo tabu wacha nibadili meals for him.
Siku ya pili mgeni kumbe ni bed-grabber, yaani ukilala utapata amekuekelea mguu kwa shingo amekukaba, eee nikaona hii Sasa ni ingine, nikawa yeye hulalisha kwa sofa ni poa. Juzi amedakwa live na mbochi wa Akina Lisa. Jioni narudi nakuta kesi ya mgeni Nika solve kiroho Safi.

Sasa kuna hii tabia me huniboo, ati anaeleza ma-neighbor eti me sinanga any, eti mshahara yangu ni chini ya ngiri nane ndo maana me hukula nyama Mara moja ndani ya siku nane.
Jana nilibuy jam na blue band, nazo amemaliza na siku moja, alipaka mkate asupui, akashinda mchana akiionja.

Sahii niko kejani, ndo niende bash ya wasee, Kuna Jordan shoes nilikuwa nimebuy, kumbe amepiga nazo round akaziharibua, nikamuuliza huku nimejam, akanishoo ni yeye alizivaa zikaharibika katika harakati za kujipima.
INAUMAAAAAAAAA aki.

Sasa wasee nisaidieni huyu mgeni siku ya kwanza alinishoo yeye hakulangi sukuma juu infanya tumbo inauma, na mimi hii week tunaanxa nataka nisukume na sukuma juu sioni dalili ya mchuzi.

Pia hizi vitu ye hufanya na njaro zake haziletangi mbidii.
Je ni mwambiye afungunye firago arudi ocha ama nivumilie mbaka three weeks zieende? Hata moja imeenda Sasa. Lakini kuvumilia remaining two weeks ni mob aisee, japo mwanaume nikukaa ngumu. What should I do?
 
Eeeeeh, after hiyo manzee si ni kuekelewa kwe booty ya mistubishi, na makasisi kisha mazishi? Huoni it's another big proboo?
Bwana alitoa na bwana ametwaa hakuna le problee
 
Hizi risto nyingine za kulenga tu, haziwes make. Anyway, wasee husema "show me your friends and.." Sasa tumejua budah unanyemeleaga ma-mbochi. Hiyo mambo ni ngori.
 
Hizi risto nyingine za kulenga tu, haziwes make. Anyway, wasee husema "show me your friends and.." Sasa tumejua budah unanyemeleaga ma-mbochi. Hiyo mambo ni ngori.
Hahaha.... Nkt!! Mzito wacha za hovyo mbochi wa kazi gani na niko na manzi naeza muitisha saa yoyote.
 
Fukuza hiyo mtu mazee

I think atahepa juu hii week tunayoanza nasukuma na sukuma juu me sioni dalili za mchuzi.
Si unajua yeye akila sukuma hufanya tumbo inauma.
Sema kufukuza indirect. Hehe.... Akwende kabisa.
 
Back
Top Bottom