Mgeja Mtovu wa Adabu!

Mgeja Mtovu wa Adabu!

K-Boko

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Posts
697
Reaction score
218
Bila hata kuzungumzia hoja yake, lakini Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Hamisi Mgeja ni mtovu wa adabu kwa kuwa alikuwa akizungumza na waandishi wa habari na akijua kuwa kwa kupitia wao atakuwa akizungumza na Watanzania, alikuwa akitafuna bazoka!! Achilia mbali waandishi na wananchi, lakini mtu mwenye adabu na heshima zake hawezi kuzungumza na mwingine huku akiwa anatafuna Big-G!!

Source: ITV News hivi punde tu.
 
Waganga wa jadi wabaya sana. ndivyo walivyomuelekeza!!!!
 
Mbona Fergie alikuwa anaelekeza uwanjani huku akitafuna big G, Acheni uonevu
 
Huyo ni friends of Lowasa. Waandishi wa habari nao hawakuliona hilo? Pia wangehoji yeye amekula ngapi?
 
Mkuu kujadili mamizigo (CCM) ni kupoteza muda wako bure. Kama kuna taasisi ninayoichukia kuliko zote kwa sasa chini ya jua ni hiki chama na mijitu aina ya Mgeja. Bado hawa wajinga wako kwenye ndoto za "chama kushika hatamu" wakijiona wako juu ya wananchi na wao ndio serikali. Wanaudhi sana hawa punguani.
 
Huyo ni friends of Lowasa. Waandishi wa habari nao hawakuliona hilo? Pia wangehoji yeye amekula ngapi?

Kwani alitoa nafasi ya maswali? Guts hizo atazitoa wapi majitu ya kukimbia midahalo?
 
hamis mgeja na steven masele ni ndugu! kwasababu......
 
Mbona Fergie alikuwa anaelekeza uwanjani huku akitafuna big G, Acheni uonevu

Mzee tofautisha michezo na burudani na serious issues! Fergie pale anakuwa michezoni ambapo kutafuna Big-G ni jambo la kawaida. Pia hadhi ya wachezaji kwa kocha wao inaweza kufananishwa sana na watoto wake tu, hivyo kuzungumza nao au kuwaelekeza huku akitafuna bazoka ni jambo la kawaida. Kuzungumza na waandishi wa habari ni tofauti kwa kuwa wao wako pale kwa serious issues na kwa niaba ya jamii, na unapowaita na kuwaonyesha dharau, ni moja kwa moja unaidharau jamii wanayoiwakilisha. Huo ndio mtazamo wangu na ni demokrasia kutofautiana!
 
Ben haikuwa big g ni dawa ya miti shamba hiyo si unawajua wasukuma kwa ........
Huyo siku zote akiguswa EL anaumia yeye kwani ndiyo katibu mwenezi wa huyo EL
 
Kwani John alizungumza na mitungi siku ile? Mgeja kawapiga nyundo ya kila 20, hamsimami tena daima mtaendelea kulala huku mkiwa mahututi

Bila hata kuzungumzia hoja yake, lakini Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Hamisi Mgeja ni mtovu wa adabu kwa kuwa alikuwa akizungumza na waandishi wa habari na akijua kuwa kwa kupitia wao atakuwa akizungumza na Watanzania, alikuwa akitafuna bazoka!! Achilia mbali waandishi na wananchi, lakini mtu mwenye adabu na heshima zake hawezi kuzungumza na mwingine huku akiwa anatafuna Big-G!!

Source: ITV News hivi punde tu.
 
Mbona Fergie alikuwa anaelekeza uwanjani huku akitafuna big G, Acheni uonevu

kweli hizi big G mgeja alikuwa anatafuna dawa. Ata furgeson alikuwa vile vile. Kama hazikuwa daw mboa wachezaj wa man utd ni walewale lakini inaburunda?ata leo wamekandamizwa 2-1 licha ya kumsajili MAta
 
Bila hata kuzungumzia hoja yake, lakini Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Hamisi Mgeja ni mtovu wa adabu kwa kuwa alikuwa akizungumza na waandishi wa habari na akijua kuwa kwa kupitia wao atakuwa akizungumza na Watanzania, alikuwa akitafuna bazoka!! Achilia mbali waandishi na wananchi, lakini mtu mwenye adabu na heshima zake hawezi kuzungumza na mwingine huku akiwa anatafuna Big-G!!

Source: ITV News hivi punde tu.
Hapo sio mtomvu wa nidhamu ila anaonyesha jinsi anavyotafuna fedha alizopewa na Lowassa na sasa anawashawishi viongozi wa dini nao watafune kama yeye
 
Back
Top Bottom