Mgeja Mtovu wa Adabu!

Mgeja Mtovu wa Adabu!

Yaani tamko lake lote limejaa mipasho.Maskni mgeja hata hajui anachokifanya
 
Ndo anajiandaa kisaikolojia but pamoja na hilo ujinga nao unaomsumbua mzee mzima, hata adabu hana*ni mshenzy*
 
Anaonesha jinsi viongozi wa ccm walivyo
 
Bila hata kuzungumzia hoja yake, lakini Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Hamisi Mgeja ni mtovu wa adabu kwa kuwa alikuwa akizungumza na waandishi wa habari na akijua kuwa kwa kupitia wao atakuwa akizungumza na Watanzania, alikuwa akitafuna bazoka!! Achilia mbali waandishi na wananchi, lakini mtu mwenye adabu na heshima zake hawezi kuzungumza na mwingine huku akiwa anatafuna Big-G

Source: ITV News hivi punde tu.

Ndio maana Tanzania haiendelei maana ni akili ndogo inatawala akili kubwa halafu utasikia maendeleo kwa kila mtanzania, kweli maendeleo kwa viongozi kama hawa?
 
Cha kufurahisha EL yeye anaendelea na anachofanya bila kuwajibu..mnabaki mkibwatukiana
Lowasa bana! Anadhihirisha yeye ni mtendaji sio mzee wa porojo,anaona akiwajibu atapoteza muda subirini na leo Jumapili afanye harambee nyingine ili mpate cha kuitisha press next week
 
...tunasubiri matamko mengine njooni...
 
Cha kufurahisha EL yeye anaendelea na anachofanya bila kuwajibu..mnabaki mkibwatukiana
Lowasa bana! Anadhihirisha yeye ni mtendaji sio mzee wa porojo,anaona akiwajibu atapoteza muda subirini na leo Jumapili afanye harambee nyingine ili mpate cha kuitisha press next week

Kwani Mgeja amepewa sh.million ngani? na EL..
 
Ndio maana Tanzania haiendelei maana ni akili ndogo inatawala akili kubwa halafu utasikia maendeleo kwa kila mtanzania, kweli maendeleo kwa viongozi kama hawa?

Huyo mgeja mwenyewe CCM imemshinda huko Shinyanga kutokana na majungu alisababisha Chadema ichukue majimbo manne "4" kwa mpigo........... huyuu Mzee ni njaa tu huwa inamtesaga.
 
Are you serious? Fergie yupo kwenye michezo na pia ni commercial

Je yeye,tamko lake ni mashindano ya ligi gani ?

Najua nilichoandika Ben

Mzee tofautisha michezo na burudani na serious issues! Fergie pale anakuwa michezoni ambapo kutafuna Big-G ni jambo la kawaida. Pia hadhi ya wachezaji kwa kocha wao inaweza kufananishwa sana na watoto wake tu, hivyo kuzungumza nao au kuwaelekeza huku akitafuna bazoka ni jambo la kawaida. Kuzungumza na waandishi wa habari ni tofauti kwa kuwa wao wako pale kwa serious issues na kwa niaba ya jamii, na unapowaita na kuwaonyesha dharau, ni moja kwa moja unaidharau jamii wanayoiwakilisha. Huo ndio mtazamo wangu na ni demokrasia kutofautiana!

EPL iko serious kuliko hizi harakati za kisiasa za serikali ya CCM.. yes, ndiyo maana watu wamepoteza matumaini ya kisiasa chini ya CCM nyumbani na kujitoa stress kwa kuangalia EPL. Mimi binafsi ukiniuliza mjumbe wangu wa CCM serikali ya mtaa simjui ila ukiniuliza wachezaji wa akiba wa timu yangu Wigan Athletics ambayo ilichukua FA cup na kushuka ligi kuu nitakutajia!
 
Back
Top Bottom