Mgeja: Chadema wanadai uhuru wa bandia maana uhuru kamili tulishapata 1961

View attachment 1039803
Mizee Mingine laana!!! Mitumbo!!!..Kinyesi tu!!! Luhunbo Luhumbo!!
Matusi yooote baada ya kutoka chadema.
Alivyokuwepo hujaona huo mtumbo wala kinyesi.
Tuliwaonya mkatutukana..na bado tunasubiri siku sumaye akitoka mtasemaje...Kipanya keshamchora na shati la kijani kabisaa kapiga magoti
 
Mzee Hamis Mgeja amesema Chadema bado wako katika harakati za kudai uhuru.

Amedai yawezekana uhuru wanaoutafuta ni wa bandia kwani uhuru kamili tulishaupata mwaka 1961 chini ya Tanu.

My take;
Labda ndio maana Chadema wanapinga kila kitu kwa sababu hawajui wanataka nini!

Maendeleo hayana vyama!
Huyo mmzee ni team Mamvi pure,hayo maneno alikuwa wapi kuyaongea kabla bwana ake hajarudi Lumumba?

Mpuuzi tu.
 
Unafiki ni kitu kibaya sana maishani. Huyu ni kama mke vile wa fisadi lowassa kila alipo na yeye anataka kuwepo ili arushiwe mifupa aliyobakisha fisadi lowassa.

Mtu mzima hovyoooooooo! Hana msimamo wala hawezi kufanya maamuzi huru.
Huyu Mzee ndio taswira halisi ya msemo "Ulipo Tupo". Kamwe Mkia wa "mbwa" hauwezi kutenganishwa na "mbwa mwenyewe", labda kimoja kife.
 
Huyo mzee ni wa kuhurumiwa tu yaani kwa umri wake anafugwa na Lowasa!
Mzee Hamis Mgeja amesema Chadema bado wako katika harakati za kudai uhuru.

Amedai yawezekana uhuru wanaoutafuta ni wa bandia kwani uhuru kamili tulishaupata mwaka 1961 chini ya Tanu.

My take;
Labda ndio maana Chadema wanapinga kila kitu kwa sababu hawajui wanataka nini!

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom