Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,402
- 1,618
Huyu dada ni rafiki yangu sana, nilikuwa nafanya nae kazi ofisi moja kabla sijafukuzwa kazi, alikuwa rafiki yangu sanaa kiasi cha yeye kunipa siri zake za ndani sana.
Tatizo ni kwamba bwana wake anasimamisha mgegedo wake wake mara moja tu kwa mwezi, leo asubuhi nilikuwa nachat nae whatsapp akaniambia unakumbuka lile tatizo la mume wangu nililo kwambia nikamwambie ndio akasema yaani mwezi uliyopita MGEGEDO wake haujasimama kabisa na mwezi huu ndio hivo unaisha bila jamaa kusimamisha. sasa anajiuliza kuwa yawezekana jamaa siku ilisimama akaenda kumalizia haja zake sehem nyingne au ndio amekuwa hanisi tayari?
thread zako na wewe...loh!
Remote iyo profile yako bhana! Mi waga nabaki kucheka tu,sijui uliitoa wapi ?!
Hivi ww supu ya mawe ulimkosea nini Mungu ww kila siku ww na rafikizo ni matatizo tu .Ili kutoa nuksi kaoge maji ya salender bridge pale.
matatizo tumeumbiwa wanadamu nasisi ndio wanadam
Huo mgegedo huwa inasimama tarehe gani ya mwezi?saa ngapi?na ukisimama huwa unasimama kwa muda ganii??
Kasoro yko matatizo yko unapenda kuyaanika sana.
ni vigum kwa watu kukushauri kama hawajui tatizo lako, kuficha matatizo yako si uaname kinyume chake yatakuathiri zaidi mwishowe ufe kwa BP. Pamoja na yote, we dont know each other personally,
dah!! we SUPU YA MAWE kiboko kila siku una tatizo jipya.............jana si ulienda kwa mganga? mwambie huyo rafikiyo mumpeleke mumewe huko kwa huyo mganga wako akapate tiba
Supu ya Mawe tena???v
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Haya ni matatizo ya kufungua kinywa na SUPU YA MAWE a.k.a Gongo, Ngumu kumeza n.k