unashangaa ndevu uarabuni?
Wanaona aibu kutangaza kwani walijitapa kuwa wamekamilika katika kukabiliana na tatizo la mgao, kitu kimyakimya speed 120 kwenye kona nshaaaahhhh.Wana JF hebu niambieni huu mgao wa umeme ndo umerudi kimyakimya? manake huku kwetu kila siku unakatika afu unarudi jioni......