STEPHEN MLIGO
Member
- Oct 21, 2017
- 13
- 2
Hii Kauli Si Nzuri kwa kiongozi mkubwa kutoa Maneno kama haya kwa Halaiki Binafsi sijapendezwa Licha ya Jitihada kadhaa anazozifanya Na kunishawishi kuunga Mkono Nadhani Ni kutokuujua nini nikaongea katika ziara yangu na Jamii ya watu wa mwanza Suala kama hili la kubomolewa Nyumba Natafsiri kama Vile Alichukulia kama sehemu ya masihara Lakini si Mahara pake ,,kwani Jamii INA passive jambo kwa Namna YakeRais anayewagawa wananchi wake kwa kanda, wa Kimara poa kuvunjiwa nyumba zao hata kama wana amri za mahakama kuzuia uvunjaji huo, na wa Mwanza wasivunjiwe hata kama wamejenga vibaya, hawezikuwa na nia njema.
Kwa hiyo mnaposema "Rais ana nia njema" inabidi mjifikirie mara mbili kabla ya kutoa kauli hiyo.