Mgao wa umeme waongezeka baada ya bajeti ya nishati kupitishwa

njia mbadala ni jenereta halafu mafuta yako juu kuliko umeme kwani wewe unatumia nini umeme ukikatwa..
kuna source nyingi sana kaka,
siyo lazima utumie mafuta kuna renewable energy sources kama , geothermal power, wind power, solar energy na biomass.

Heheheee! Hawa jamaa wa ajabu kweli. Umeme wiki iliyopita ulikatwa.. Ile siku ya kusoma bajeti ya nishati na madini umeme uliachiwa na haukukatika kabisa.. Baada ya hapo huku umeme umerudi ktk mpao mpaka leo. Siasa hii ITATUUA JAMANI!

Kwetu umeme jana tokea asubuhi ilikatika ulirudi saa tano usiku tukiwa tumelala

Asubuhi sa 12 umeondika

kwel;i inakera sana yani tumekuwa kama watoto, tunadanganjwa na pipi tu, au na chips mayai afu tunaachiwa watu wanatumaliza...

Siku ile waziri Geresha anasoma ngonjera zake bungeni, mibunge ya CCM ilikalia kungonga meza wakati hotuba yote ilikuwa kamba tupu, Eti mgao umepungua, nikajiuliza au maeneo yetu tu ndo mgao umeongezeka?
Bora wewe Jackbouer umelitambua hili.
Dis country bana?

Huku mwanza Umeme hakuna eneo zima la jiiji hata Internet haipatikani. nimeenda POSTA napo hakuna mawasiliano ya inetrnet. natumia kamodem kangu ka Zain..baada ya kufuta net tangu asubuhi.]

niko pande za kahama jana mchana wote umeme wamekata, leo asb tena kama kawaida wamechukuwa chao. hii ndo tz zaidi ya uijuavyo. wabunge mmekalia kugonga meza kama majuha, hovyoo.

Siku ile waziri Geresha anasoma ngonjera zake bungeni, mibunge ya CCM ilikalia kungonga meza wakati hotuba yote ilikuwa kamba tupu, Eti mgao umepungua, nikajiuliza au maeneo yetu tu ndo mgao umeongezeka?
Bora wewe Jackbouer umelitambua hili.
Dis country bana?
nina mpango wa kuhamia mitaa ya idara ya maji nasikia huku umeme ni 24/7.

• Thanks
Reactions: Aza
Wakuu nimechunguza siku moja baada ya bunge kupitisha bajeti ya wizara ya nishati na madini mgao wa umeme umerejea katika makali yake.kwa wale walioko arusha mnaweza kuelezea jinsi mgao wa umeme ulivyokuwa kuanzia jana (jumapili)

nakubaliana nawe % zote,mana nimestuka kuona giza limezidi tena sehemu kubwa ya mkoa
ni maeneo ya "nyeti tu" ndo umeme upo

baada ya bajeti kupita nayo ile kauli mbiu ikachukua nafasi effectively, ''tutakata umeme kwa Ari zaidi, Nguvu zaidi na Kasi zaidi''

Uongozi wa sasa ni wa ovyoovyo sana,mtu hana sifa ya kuwa kiongozi wanateuana tu ovyoovyo tu,sijui mwisho ni nini hapa

Wakuu nimechunguza siku moja baada ya bunge kupitisha bajeti ya wizara ya nishati na madini mgao wa umeme umerejea katika makali yake.kwa wale walioko arusha mnaweza kuelezea jinsi mgao wa umeme ulivyokuwa kuanzia jana (jumapili)

sio Arusha tu, hata huku Mwanza mgao ni mkali sana, sijui ndio serikali ya chama cha magamba wameamua kutukomoa!

sio Arusha tu, hata huku Mwanza mgao ni mkali sana, sijui ndio serikali ya chama cha magamba wameamua kutukomoa!

tatizo mlikubali ile bajeti yao ipite na mnukuu mwanaharakati renatus "...shauri yenu watz mi ndo nshasema...."

Wakuu nimechunguza siku moja baada ya bunge kupitisha bajeti ya wizara ya nishati na madini mgao wa umeme umerejea katika makali yake.kwa wale walioko arusha mnaweza kuelezea jinsi mgao wa umeme ulivyokuwa kuanzia jana (jumapili)

Tatizo la umeme kukatika limekuwa Sugu.
Kama Wa-tanzania wenyewe hatutajitoa muhanga kushinikiza walioshikilia mpini kuuachia hakika tutaangamia sote: tatizo la Umeme tukiliacha kwa hawa wana siasa hakina Ngeleja tutaendelea kusononeka tu: kwa nyakati hizi tunaweza tukalichukulia kimzaamzaa lkn baadae yanaweza kutukuta yaliyowakuta Wasomalia: uzalishaji viwandani utapungua, chakula kitakosekana na hatimaye Njaa itazuka. Kwakweli Umeme na Mafuta ni vitu muhimu kwa wa-Tz.
Tusubiri tuone.

Back
Top Bottom