Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,683
Ni upanuzi wa hiyo gas mkuu sio ukaguzi
Hivi gas huwa inapanuliwa mmmh:A S confused: ?
Ni upanuzi wa hiyo gas mkuu sio ukaguzi
Hivi gas huwa inapanuliwa mmmh:A S confused: ?
poleni wabongo kwa sisi tulioko madongo kuinuka nlishasahau kama umeme huwa unakatika au maji.
Kilichopo tafuteni umeme mbadala.nendeni kariakoo kuna wakala mjapan anauza convertor
nunua hizo na betri zake 2 garama sii kubwa sana ni kama laki 6 inategemea ww unataka kutumia vifaa gani
nahisi fen tv taa sii inatosha? unaichaji wakati umeme unaporudi na una uwezo wa kuitumia hata wiki 2 bila shida
.kwa wale wasio na umeme inabidi wanunue kajenereta kadogo kwa kuchajia.
Sijui tutalalamika hadi lini wkt tunajua Tanesco kumejaa ufisadi.
hata kama wanaosha visima vya gesi walitakiwa kuwa na source mbadala.
wabongo kama mmenielewa changamikeni hizo convertor ukijifunga
kwa miezi 2 unanunua ukipunguza kukaa bar na kutoa ofa kila wakati,kuchangia changia harusi,
kujinyima mavazi ya garama utaweza.
Tunaweka mno starehe au kupenda kuonekana na watu tuna uwezo kifedha
ilihali hatutaki kuwaza umeme mbadala majumbani mwetu.kazi kwenu.
Kwa wale ambao wana nyumba zao tembeleeni pale ubungo external kuna bwana mmoja
yeye mtaalamu wa umeme wa upepo atakuja kwako atapima eneo atakufungia umeme
na kutegemea na matumizi yako ndio bei inategemea lakini sii kubwa pia wapo kawafungia
hawana shida hadi friji wanatumia nk.
Mgao umeanza upya, gesi imeadimika kutoka Songosongo
tatizo letu watanzania tunaongea nyuma ya desktop na SIPIYU tu... kama tumeona enough is enough lets do something about it!
huu upuuzi kamwe hautaisha kwa style hii, shurti tutiane adabu kwanza ili tuheshimiane... nilmeangalia mkuu akifungua sijui ndio warsha ya mawaziri na makatibu wakuu leo yani, kama una bastola unaweza kuibatua TV yako.. its rubbish hakuna hata mmoja anayeonekana anakerwa na hali ya maisha ya watanzania kwa sasa
Aisee kweli mkuu mgao ulianza tokea 2006 since then tumekuwa kwenye DARK AGESMgao ulianza 2006
Kuna maeneo nilipita jana yalikuwa hayana umeme tokea saa 12 umerudi saa 6 usikuHuku kwetu walianza mgao tokea wiki mbili zilizopita nashangaa kusikia mgao unaanza tarehe 19