TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,814
- 3,155
Inasikitisha sana kuona bado kuna mgao wa umeme wakati tumeambiwa maintenance imekamilika na mvua zimeshajaza mabwawa, sasa huu mgao unaoendelea unasababishwa na nini?
Mgao wa umeme wapi? Sijaona ukikatika Kilimanjaro wiki ya 4 sasa.Inasikitisha sana kuona bado kuna mgao wa umeme wakati tumeambiwa maintenance imekamilika na mvua zimeshajaza mabwawa, sasa huu mgao unaoendelea unasababishwa na nini?