Mgao umepungua tumejisahau

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Tunashukuru hali imepungua ya ukali wa mgao,sio haba umeme tunao siku nzima sasa.Ila nashangaa sisikii majadiliano tena kuhusu hali ya umeme wa nchi.Nadhani sio sahihi,tutasababisha hata wakirudi tena bungeni wasilinzungumzie tena,KIPIMAJOTO na wadau wengine leteni mada kuhusu umeme tusiridhike na hali ilivyo!
 
Ni mapema mno wakuu kusema kuwa umepungua mgao huu maana huku kwetu hakuna mabadiliko!Yes, nimekumbuka, umepungua katika baadhi ya maeneo ili watu waweze kulinda matambo yao yaliyosikika katika vyombo vya habari hivi karibuni!
 
Back
Top Bottom