Mgao umeisha wapi! Huku tangibovu mbez beach mbona wamekata toka saa 2 na hatujui utarud saa ngap. Hi SERIKALI INABOA KINYAMA na ww Ngeleja kaa kimya
Hahahaha Ngeleja anaunguzwa masaburi na Tanesco yake! Mbezi Bch hatuna umeme!
Morogoro mji mpya-zzzzzz,umeme umepata ajali kwenye lori hvyo umeshindwa kuja
Huyo naibu waziri na waziri wake wanafiki tu. hakuna lolote. wanaogopa kisago bungeni maana Kikao cha Bunge cha mwezi wa 11 ndiyo kimekaribia. hawana lolote hao wajiuzuru tu. hamkumbuki wakati wa kupitisha bajeti ya wizara ya Nishati na madini? Umeme uliwaka mfululizo tukadhani tatizo limekwisha kumbe walitaka bajeti yao ipite!Serikali kupitia naibu waziri wa nishati na madin imesema kuwa kuanzia sasa mgao wa umeme umeshaisha hadi mwezi january,amesema kuwa hilo limesababishwa na kujaa kwa baadh ya mabwawa na pia kuna kampuni(jina nimelisahau)imeweza kuingza megawati kadhaa kwenye gridi ya TAIFA!
Je hapo ulipo kuna umeme?
Sosi:radio ONE