Mgao mwingine toka CCM lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgao mwingine toka CCM lini?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by QUALITY, Nov 28, 2010.

 1. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wengine wetu tuliingia katika uchaguzi,hadi kwenda kujipanga kupiga kura za maoni za CCM kwa kupewa Sh. 2,000 au Tshet, kanga, skaf au kofia zenye picha ya kikwete na kauli mbiu yake Nguvu zaidi...

  Sasa uchaguzi umeisha na sh. 2,000 imeisha isha, tshet, kanga,kofia na skaf zimeanza kuchakaa hata kabla ya mwaka kuisha. Lakini tumewapa ulaji kwa miaka mitano. wengi wa hao tuliowachagua safari zao zitakuwa nyingi ifikapo 2015 kama sehemu ya kusafisha njia yao kwa ajili ya uchaguzi mwaka huo!!

  Swali: Je mgao mwingine wa bidhaa hizo Utakuwa lini au mpaka 2015?
   
Loading...