Huku nilipo ulikatika tangu asubuhi umerudi jion hii nafikir huko mchana ulikuwepo wanakata kwa zamu.Huku Arusha pia haieleweki..hata sasa haupo utarudi saa 7 za usiku
Nipo manyuki mwisho umeme amnaNipo kata ya kihonda Maghorofani umeme haujakatika leo.
Mwanza watu tumepata hasara ya maana tu!!Hili tatizo la kukatika katika umeme limerudi kmya kimya .Hata hapa Dar lipo tuu kwa baadhi ya meaneo Tabata na Gongo la mboto na Pugu
Inakera sana halafu hawasemi chochoteHuku nilipo ulikatika tangu asubuhi umerudi jion hii nafikir huko mchana ulikuwepo wanakata kwa zamu.
TANESCO kama kuna mgao wa umeme hapa Mkoani Morogoro basi tutangazoeni tujue ili tukanunue magenereta tu. Kwa muda wa week kadhaa sasa tanesco mmekuwa mkikata umeme karibu mitaa yote kata ya kihonda.
Mathalani kuanzia siku ya ijumaa ya tarehe 18.Dec.2020 kata nzima ya Kihonda haikuwa na umeme.
Leo tarehe 21.Dec.2020, Mazimbu yote na mjini haikuwa na umeme. Leo jioni kuanzia saa 12 kata yote ya kihonda hakuna umeme tatizo ni nini?
Tuambieni tu kama tumerudi kwenye mgao wa umeme ili tujipange kivingine na huu uchumi wa kati.