Mganga wa kienyeji katembea na mke wa rafiki yangu akimdanganya ni jini

Wanawake akili zao ni za kuchomelea, hivi angepungukiwa nini angekausha na siri yake moyoni?

Hata kama shoga ake angetangaza si anakataa tu ushahidi uko wapi kwan ana ujauzito wa mganga hadi aogope? huyo nae ndimu tu.

Mwanaume nae ndimu,mke wako kaipeleka k Kwa mganga unaenda mfata mganga umpeleke polisi ili iweje?

Mijinaume mingine mi k k k tu,unatembea barabarani unanyooshewa kidole "yule jamaa mke wake kaliwa na mganga" aibu mara 1000,

Mambo ya ndoa hebu malizeni chumbani maana kuyatoa nnje ni kutafuta aibu zaidi na zaidi.

Nawapenda wanawake maana akili zao raha sana kwenye utendaji kazi wake.
 
Hahahaha
 
Inaskitisha na inahuzunisha,

Wakuu mko poa?

Naenda kwenye maada,: hapa jirani imezuka kelele ya kufa mtu ambapo naishi kuna mke wa rafikiangu ambae ni mke wa mwalim, mkewake katobw,,,, na mganga wa kienyeji bila kinga imeleta vurugu sana,

Iko hivi, ni mke wa rafikiangu ambae wameoana wamebahatka kuzaa mtoto mmoja wa kiume kwa sasa ana umri wa miaka 5, Mtoto huyo ana tatizo la macho kua mekundu rakni anaona vzr tu wamezunguka huku nakule rakn hajapona

Sasa juz kuna mama mmoja akamwambia yule shemeji (mdada) kwamba tatzo la mtoto wako ni dogo sana kuna mganga wangu alishawai kumtibu bint yangu alikua na tatzo, Kwahili naamini mganga ataenda kuponyesha mtoto huyu, shemeji (mdada)akawa ameelekezwa akaenda kwa huyo mganga

Ilikua asubuhi mmewake alikua amesafri baasi wakafka kwa mganga akaambiwa sjui et tatzo la mtoto wako ni dogo sana ila itakubidi ulale na jini, yule dada akastuka akauliza nitalala na jini vp? mganga akasema utarudi jioni baada ya hapo akarudi nyumbani

Jioni ilipofka akafka kwa mganga akaitwa ndani kwenye kajumba ilikua tayar ni usku usku sjui sasa ni tamaa yule mganga alimtamani yule dada,

Ilikua gizani hapakua na taa mganga akaanza kuongea maneno yaajabuajabu anaigza kama jini, ananwambia vua ulale na jini mtoto wako atapoana lile jini likaona anachelewa kuvua akavulishwa kwa nguvu akachaniwa chupi likamla ,,, aiseee inauma sana

Amekuja kugundua halikua jini wala nini ni mbinu za mganga na tamaa zake kamla bila hata kutumia kondomu,, dada yule akatoka huko akiwa analia kampigia simu mmewake kumwambia kilichomtokea kwakua alikua hayupo alikua kasafri mmewake ambae ni rafk iangu amekuja mgomvi umezuka mzto usku wa wakuamkia jana

Mme akamchukua kwenda kwa mganga kisha wamefikishana polisi jambo limekua zito yaaani waganga hawa wanatamaa na wateja wao mtu ametoa laki moja bado na kumla,,, na sizani hapo kama kutakua na ndoa tena, na inaonekana huyo mganga alitumia nguvu maana anaalama za makucha

Kutamaani kitu kzuri ndio madhara yake hayo

Exalioth
Naipenda Jamiiforums
Karibuni GEITA
Kwa hiyo alitaka jini avae condom?😂😂😂
 
% kubwa ya wanawake ni washirikina na ni wajinga sana haiwezekani tatizo la macho mekundu kwa mtoto uende kwa mganga wa jadi. Wengi wao wanapotezwa na marafiki zao,ndomaana wanawake wengine wenye kujielewa hawapendi marafiki.
 
Back
Top Bottom