Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar afariki

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar afariki

Vyeo vya kupeana, mganga mkuu mkoa - kahama, mganga mkuu ilala- mahita, mganga mkuu temeke - malima ha ha ha wakiumwa nairobi kutibiwa wakifa kuzikwa tanzania. Hivi tanzania ji makaburini?

Wabongo wadarisalama hata hawashtuki!Wako tu RIP!!MGANGA MKUU KUFIA NJE YA NCHI???Wewe kalagabhaho,hohehahe subiri kufa kwa magonjwa yanayotibika kisha tumsingizie MOLA.Darisalama oyee.
 
Alikuwa mganga wa kienyeji wa mkoa? Samahani kuuliza hilo swali, kama ni daktari wa kawaida je wenzake watajifunzanini kuhusu yeye kwenda kutibiwa kenya? Hospitali zetu hazikumfaa ili hali zilikuwa chini yake?
ni kweli Mkuu ila wakati mauti yanamkuta alikuwa anatibiwa Nairobi nchini Kenya na hadi sasa hivi mipango bado hajajulikana ntawajuza
 
Mkuu thanks for your comment! Haingii akilini mganga mkuu akafie kenya akitibiwa, huu ni wendawazimu kweli. Mda mwingine wawe wanakumbuka kuwa kifo ni cha kila mtu, waboreshe hospitali zetu.
Wabongo wadarisalama hata hawashtuki!Wako tu RIP!!MGANGA MKUU KUFIA NJE YA NCHI???Wewe kalagabhaho,hohehahe subiri kufa kwa magonjwa yanayotibika kisha tumsingizie MOLA.Darisalama oyee.
 
Kwanza nitoe pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu.

Pili wadau naomba kuuliza kaswali kadogo, hivi mganga mkuu wa mkoa wa Dsm anapatikana hospitali gani hapa jijini? Mganga mkuu wa manispaa ya Ilala anapatikana hospitali ya Amana, mganga mkuu wa manispaa ya Temeke anapatikana Hospitali ya Temeke na mganga mkuu wa manispaa ya Kinondoni anapatikana hospitali ya Mwananyamala. Huyu mganga mkuu wa mkoa wa Dar es salaam anapatikana/anahudumia katika hospitali gani kwakuwa hakuna hospitali ya mkoa wa Dsm.
 
Namkumbuka walimuunganisha na kashfa ya ajira za vigogo na ukoo wa kahama
maskini ma dk rip popote ulipo nini gafla hivyo
 
Kwanza nitoe pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu.

Pili wadau naomba kuuliza kaswali kadogo, hivi mganga mkuu wa mkoa wa Dsm anapatikana hospitali gani hapa jijini? Mganga mkuu wa manispaa ya Ilala anapatikana hospitali ya Amana, mganga mkuu wa manispaa ya Temeke anapatikana Hospitali ya Temeke na mganga mkuu wa manispaa ya Kinondoni anapatikana hospitali ya Mwananyamala. Huyu mganga mkuu wa mkoa wa Dar es salaam anapatikana/anahudumia katika hospitali gani kwakuwa hakuna hospitali ya mkoa wa Dsm.

KAULIZE MSD WATAKWAMBIA KAZI YAKE MKUU KAMA UKUJUA HOSP YAKE MADUKA YAke ya DAWA YAMEKUSAIDIA USIULIZE ZAID NIPATE DHambi
 
jamani anzeni ata na rip mmalizie na swali duh
 
Inna lillahi wa Inna ilayhi raajioun....
Taarifa tulizopokea toka ofisi ya Mkuu wa Nkoa wa Dar es Salaam zinasema kuwa Mganga Mkuu wa Mkoa Dr. Jufith Kahama amefariki dunia asubuhi ya leo jijini Nairobi.

Walio karibu na familia ya Dr. Maro watupe uhakika wa taarifa hizi tafadhali.

Pumzika kwa amani Dr. Kahama.
 
Dr. Jufith Kahama AU DR. JUDITH KAHAMA mtoto wa SIR GEORGE KAHAMA????????
 
Kama mwana Dar na Mdau wa Sekta ya Afya nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Dr Kahama. Pole zangu ziende kwa familia yake. Mwenyezi Mungu aiweke roho mahali pema peponi. Amen

unaonaje mganga mkuu wa mkoa kutibiwa nairobi???ndio maana tunadharaulika sana na wakenya.....wadau wa afya boresheni huduma za afya sio kila siku warsha tu....mara mnasoma ma-phd wakati basic health service hamuwezi kutoa...
 
Vyeo vya kupeana, mganga mkuu mkoa - kahama, mganga mkuu ilala- mahita, mganga mkuu temeke - malima ha ha ha wakiumwa nairobi kutibiwa wakifa kuzikwa tanzania. Hivi tanzania ji makaburini?

na wa kinondoni je??

malizia basi
 
na wa kinondoni je??

malizia basi

Mganga mkuu wa jiji la Dar alikuwa anaitwa Judith KAHAMA(Sir. George Kahama),Mganga mkuu wa Ilala
ni Asha MAHITA(Omary Mahita),mganga mkuu wa Temeke ni Amani MALIMA(Kigoma Malima),na mganga mkuu
wa Kinondoni ni Bunini KAMBA(Kate Kamba)
 
Dah pamoja na kuwapa pole wafiwa lakini hii ni aibu. Hivi inakuwaje kila mkubwa anafia nje ya nchi akitibiwa? Ina maana miaka zaidi ya hamsini ya uhuru bado hamna kiongozi mwenye imani na hospital zetu hadi kila mtu akimbilie kutibiwa na kufia nje ya nchi?

Ukiacha viongozi wa kitaifa kama Mkwawa, Kinjekitile, Sina, Abushir, Mirambo n.k tangu kupata uhuru viongozi wengi wanaogopa kutibiwa humu nchini na wengi wanakimbilia kutibiwa ugaibuni na kufia huko ambako huishia kuletwa wakiwa maiti.....wakati umefika mkubali tu kutibiwa humu nchini kama Mandela. Si ndio uzalendo mnatuhimizia sisi wakati nyie wenyewe sio wazalendo.
HAIKUBALIKI
Poleni sana wafiwa.
Wengine wanasema Mwalimu Nyerere alidumaza nchi, lakini tangia mwaka 1985 alivyong'atuka hadi leo ni karibu miaka 30 mbona hakuna la maana na hawa hawa wanaendelea kwenda nje!? Inahitaji miaka mingapi kujenga uwezo kama tumeshindwa kwa 28!?
 
Kwanza nitoe pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu.

Pili wadau naomba kuuliza kaswali kadogo, hivi mganga mkuu wa mkoa wa Dsm anapatikana hospitali gani hapa jijini? Mganga mkuu wa manispaa ya Ilala anapatikana hospitali ya Amana, mganga mkuu wa manispaa ya Temeke anapatikana Hospitali ya Temeke na mganga mkuu wa manispaa ya Kinondoni anapatikana hospitali ya Mwananyamala. Huyu mganga mkuu wa mkoa wa Dar es salaam anapatikana/anahudumia katika hospitali gani kwakuwa hakuna hospitali ya mkoa wa Dsm.

ADJACENT NA ANATOGLO kwenye chanjo, Mkuu.
 
Mganga mkuu wa jiji la Dar alikuwa anaitwa Judith KAHAMA(Sir. George Kahama),Mganga mkuu wa Ilala
ni Asha MAHITA(Omary Mahita),mganga mkuu wa Temeke ni Amani MALIMA(Kigoma Malima),na mganga mkuu
wa Kinondoni ni Bunini KAMBA(Kate Kamba)

Poleni wafiwa. Mwenye taarifa za msiba ulipo na mazishi naomba anijulishe. RIP Dr. Judith Kahama.
 
unaonaje mganga mkuu wa mkoa kutibiwa nairobi???ndio maana tunadharaulika sana na wakenya.....wadau wa afya boresheni huduma za afya sio kila siku warsha tu....mara mnasoma ma-phd wakati basic health service hamuwezi kutoa...

Unajua tatizo viongozi wetu wa Tanzania bado hawataki kuwa wazi na magonjwa wanayoumwa ndio tatizo,
huyu mganga mkuu aliamua kwenda Nairobi kwa sababu ya kuona aibu juu ya ugonjwa aliokuwa anaumwa kwa
sababu ya kuhofia madaktari wa chini yake kujua kuwa alikuwa ni mwa........... ndio maana akaamua kwenda
kutibiwa Nairobi.na mpaka sasa mwili wake bado uko Nairobi na bill ni kubwa sana ambayo bado kuna mvutano
nani ailipe ili mwili wa Dr uwe released kuja Tz,kwa sababu hakuwa amekwenda kutibiwa official.
 
Back
Top Bottom