Anasikika kwa sababu ya umauti uliomkuta lakini kutosikika kwake nafikiri ni udhaifu wa utendaji na hili linaweza kuwa kutokana na kupewa madaraka kwa kujuana kwani Jina lake lawakilisha maana yangu (Sr. George Kahama)Mkoa wa Dar umekuwa na shida sana sana kwenye kutoa huduma sijawahi msikia huyu mtu leo anasikika kwa sababu gani ? P
Bora amekufa....
Bora amekufa....
Yes na ndiye mme wake marehemu Dr Judith Kahamanaomba kujua Dr Maro ni huyu Daktari bigwa wa moyo ambaye ana clinic yake hapa posta? nipeni taarifa ya ufahamu wakuu
Mkoa wa Dar umekuwa na shida sana sana kwenye kutoa huduma sijawahi msikia huyu mtu leo anasikika kwa sababu gani ? P
Kweli chinga, mkoa kauhita nkoa!
wapo sabasabaIs this Politics ???????????????????????????????????????????????????
Mods, Mko weekend ama !!!!!!!!!!!!!11
ni kweli Mkuu ila wakati mauti yanamkuta alikuwa anatibiwa Nairobi nchini Kenya na hadi sasa hivi mipango bado hajajulikana ntawajuza
Vyeo vya kupeana, mganga mkuu mkoa - kahama, mganga mkuu ilala- mahita, mganga mkuu temeke - malima ha ha ha wakiumwa nairobi kutibiwa wakifa kuzikwa tanzania. Hivi tanzania ji makaburini?
tehe tehe! Mkuu wametenga hadi pesa ya kuzikana wakifa. Wanaandaa 'Masaki' ya makaburi
imenibidi nicheke.Kama wewe mhaya, hapo kwenye bold umepotea; ni kauita na siyo kauhita!
Bora amekufa....
Kweli chinga, mkoa kauhita nkoa!