King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,984
Mganga mkuu wa mkoa anapoenda kutibiwa nchi jirani! What does that tell us?
Haya poleni wanafamilia. Wanyonge wanaotibiwa mwananyamala na wanaotibiwa abroad wote njia moja.
Haya poleni wanafamilia. Wanyonge wanaotibiwa mwananyamala na wanaotibiwa abroad wote njia moja.
ni kweli Mkuu ila wakati mauti yanamkuta alikuwa anatibiwa Nairobi nchini Kenya na hadi sasa hivi mipango bado hajajulikana ntawajuza