...hama kwa shemeji ndo mana anakudharau!Daaah nifanyeje wakuu nisaidien
Mkuu mganga hamuabudu Allaah, Bali anaabudu majini/mashetani. Hata Kama utamkuta anashinda msikitini MDA mwingi, na anasijda mpaka kwenye ncha za midomo.Watu wangu wanaangamia kwa kusosa maarifa, hivi unaelewa kuwa Mungu alituumba kwa mfano wake? Mganga unaemtafuta anamuomba Mungu. Kwanini wewe mwenyewe usimuombe Mungu kwa moyo wako wote?
Ndugu wana jf nina shida kidogo ..mtaani kwetu kuna dada nimemzimia kichiz lakin kila nikimtongoza hanielew yapata mwaka sasa ...ndugu nimewaza nikajifikilia kuwa ngoja nijaribu upande mwingine wa shilingi naataka nitumie ndumba au uchaw ..mwenye utaalamu wa ndumba izo anitafutee...nipo serious wakuu
Mkuu mwanaume nikupambana njoo Tz ujaribu na maisha usijifungie tu huko, maisha ni popote pia usikubali kukata tamaa ni dhambi, jipange ukishatibiwa nikupe mbinu za kupata riziki kupitia biasharaNaeza mpata wapi?