Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
- Thread starter
- #41
hahah mpendwa dunia hii imejazwa na watu wa kila aina, muhimu ni kupotezea tu!!! mara nyingi wapatao BAN ni wale wenye munkari wa kujibu...
Maanake mkuu, watu8 mi inaniuma sana, mathalan juzi usubui hii njema ilidropisha Thrade ile Baba V. in the house mi nikaikomenti the followin day, btw mi nafanya hivyo kumbe tayari Kiongozi yupo ndumwa already!
Last edited by a moderator: