Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Last edited by a moderator:
sikio la kufa.................
ada si tatizo mi nitalipa
chezea Don Passion Lady wewe!
Vipi hatufanyi mapinduzi..!??
Atafanyaje huku anakuwaza mda wote
Onegazeimasu
Shemejiii Passion Lady nimezipokea zako salamu.weweee!ngoja na mm niingie nikajionee yanayojiri!
ila kuliko mtukane huko njoeni huku mtoe stress tu thn mrudi
siasani!msalimie shemeji Ben Saanane!
amka wapinzani watapata nafasi ya kuharibu
Chekechea
Upo wewe...!?? nafasi bado zipo kwenye kile chama chenu, vibuti vimenizidi nimeona acha tu hawa wanangu niwalee tu mwenyewe humu kiunoni hata wakiota mikono na miguu humu humu potelea mbali.
amka wapinzani watapata nafasi ya kuharibu
siasa mchezo mchafu,we lala tu shemeji shauri yko!
Odinga anaongoza au anaongozwa?
Mashine za kuhesabia kura zime jam, kwa sasa wakenya wanasubiri tuhesabu manually...
Upo wewe...!?? nafasi bado zipo kwenye kile chama chenu, vibuti vimenizidi nimeona acha tu hawa wanangu niwalee tu mwenyewe humu kiunoni hata wakiota mikono na miguu humu humu potelea mbali.
huko siasani huwa naenda sana, kule inabidi uwe mvumilivu tu!!!
Ben Saanane anailazimisha tu furaha ingawa moyoni ana majonzi, ujio wa kiplagati26 unamnyima usingizi...., afu kagundua kuwa Madame B aliyekuwa anamdhania ni keki kumbe ni bumunda tu. The guy is really in a tough mment..