Mgana Msindai vs Wilbroad Slaa


Kamanda hii ndiyo kauli yenyewe thx.
 
Nasubiri yule wakutengeneza ARV feki wa Dar nae sijui atapokelewa kule maana sasa usanii umezidi japo nilikupenda ila sasa umenivunja moyo
 
Reactions: nao
Duh, shape ya msindai ni noumaaaa. Napenda kujiunga na CCM.
 
dhu pass time stories za CCM utadhani chumba cha mataahira au milembe
 
CCM km waliinvest kwa mama wa kihaya Basi wajue Dr. kwa sasa anahitaji malizia honey moon na pengine tutakuwa na mdogo wetu very soon..Naamini baada ya CCM kufa Dr. atarudi gombea nafasi aliyoiachia muda huu.
 
CCM km waliinvest kwa mama wa kihaya Basi wajue Dr. kwa sasa anahitaji malizia honey moon na pengine tutakuwa na mdogo wetu very soon..Naamini baada ya CCM kufa Dr. atarudi gombea nafasi aliyoiachia muda huu.

Haha mkuu naona unaota ndoto. Dr Slaa hawezi kurudi huko kwenu tena. Ila tunachojua anasubiri uchaguzi uishe na awe salama na familia yake baada ya kumtishia. Akiibuka atakuwa na mengi ya kusema. We either ni delusional au a total fanatic, lakini Dr Slaa is out.
Na wale wote wenye akili kidogo wameshapotea .. yu wapi Halima Mdee? John Mnyika? Tundu Lissu? Wanewekwa pembeni au wamekaa pembeni? Mbona jana hawakuwepo kumpokea Sumaye?
 
kama Lowasa ameweza kuvivaa indirectly atashindwaje Msindai , hoja sio unanini kichwani bali unanini mfukoni
 
HIvi nyie ndio wale ambao bado mnaamini Busha ni barka na busara kubwa eh?Sasa akitokezea baada ya uchaguzi atakuwa na madhara gani tena au faida gani kwa CCM?atakuja ifufua CCM?Damn ..akili za mgagaa na pwani hazitoshi...
 
kama Lowasa ameweza kuvivaa indirectly atashindwaje Msindai , hoja sio unanini kichwani bali unanini mfukoni
NIamini kipi kwamba Lowasa anaumwa sana au Lowasa ndie anaongoza indirectly..pengine kipimo ch akupima km mpo sawa nikuulize tuu km ..Unaamini nini Kuhusu Busha?
 
Mgoja kwanza tupate ushindi wa kuongoza wapo wengi ikiwa atashindwa mbona ccm wamebadilisha mara tatu kippindi miaka kumi, walianza na mangura, akaa makamba, sasa kinana
 
Hizi taarifa kama ni za kweli....hii itakuwa sio habari njema kwa upande wangu....kumpa nafasi ya Slaa bwana Mgana Msindai ni sawa na kumtusi kamanda Slaa...
slaa sio muungwana,kwanini hakubaliani na wenzake,siasa za slaa za kutaja wezi ,bila kueleza yeye atafanya nini zimepitwa na wakati.aondokee tu
 
Hizi taarifa si za uhakika Dr Slaa bado ni Katibu Mkuu wa Chadema atarudi ofisini muda si mrefu. Wacha Salum Mwalimu aendelee kukaimu, Dr Slaa anarudi Tunampenda na Tunamuhitaji.
 
CCM wanahhaha kama kuku wanaotaka kutaga... Jielezeni kwa Watanzania kuwa mmewafanyia nini so far Zaidi ya kuwatesa kwa maisha magumu katika ardhi yao iliyojaa neema lukuki za allah S.W.T

Kwani nyie mmefanyia nini ruzuku mpaka mnapinga kukaguliwa na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kama alivyopendekeza zitto kwamba vyama vya siasa vikaguliwe matumizi ya ruzuku??

wakati unafikiria jibu la kunipa,haya ndio serikali ya ccm iliyoyafanya licha ya ufinyu wa bajeti...





















Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI) phase 3. Finally done......mnyonge mnyongeni lakini jk haki yake mpeni,next will be .....


Students' Centre at University of Dar es Salaam....hii sasa ataitekeleza magufuli....michoro kila kitu tayari kama ifuatavyo...








 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…