Mgahawa ulio chini ya bahari

Mgahawa ulio chini ya bahari

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,445
Reaction score
8,418
This underwater restaurant is found in Maldives, Rangali Island.


92342f3a-6ab9-4b0e-bc18-eceadc679a38_8UnderseaRestaurant.jpg
 
Hapo chakula hakishuki, yaani unafikiria hivyo vyoo vikitoboka kitatokea nini???labda niwe nimevaa lifejacket aisee
 
ingekuwa imejengwa na wabongo hata mimi nisingeingia ila kwa wenzetu huko....aaargh natia ndani tu...kifo kipo tu ila si kama hivi vya kusababiswa na ujenzi uchwara wa kibongo...
 
Ila kuzuri uko safi sana umbea wa magazeti ya udaku aukupati uku full kujiachia.
 
John Mnyika leo ni siku yako ya kuzaliwa unaonaje ukiifanyia uku badala ya pale Much More.
 
Mmetulia mnapata tea afu mgahawa unapata pancha au samaki mwenye kichaa anakuja weee!!!
 
basi kama chini ya bahari unaogopa ntakupeleka angani
 
Back
Top Bottom